Nishakata tamaa na kuoa

Nishakata tamaa na kuoa

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,728
Reaction score
4,076
Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa

Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
 
I'm give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa

Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
Mmmh hvi n kwel mnakosa wanawke wa kuoa
 
I'm give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
hapana usikate tamaa, kitu kikubwa cha kuzingatia kabla hujaoa mwanamke ni hivi:
1) awe amelelewa na wazazi wote 2
2) awe anamheshimu mzee wake

ivi ndo vitu pekee unatakiwa kuzingatia kabla hujaoa vingine nyongeza tu
 
Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa

Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
Usipaniki kijana.

Mvumilivu hula mbivu na mambo mazuri hayataki haraka pia haraka haraka haina baraka.
 
Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa

Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
Wote unao waona ni wake za watu. Oa msaidiane majukumu.
 
Back
Top Bottom