Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
Last edited by a moderator:
Wanaume wanaruhusiwa huko?
Hahahahahaha
Mwl Evelyn Salt hii timu ni ya kule mtaani kwenu?
Nasikia na wewe ni mmojawapo kwenye moja ya hizo timu, labda utuambie kocha wenu ni nani teh teh
Lipuli ya IringaHabari wana jamvi! Katika pita pita humu ndani nimekutana na team mbili #teammabazazi na #teamwekapicha , kama zipo nyingine nifahamishwe plz!! nataka nishabikie/nijiunge na moja wapo kati ya hizo. Unanishauri nijiunge ipi? Na Je wewe ungependa ujiunge ipi? Noway 2 days to go! Tena furahiday nigh? patachimbika?sijui utamtoa nani OUT umuache nani?