Habari wana jamvi!
Katika pita pita humu ndani nimekutana na team mbili #teammabazazi na #teamwekapicha , kama zipo nyingine nifahamishwe plz!! nataka nishabikie/nijiunge na moja wapo kati ya hizo.
Unanishauri nijiunge ipi? Na Je wewe ungependa ujiunge ipi?
Noway 2 days to go!
Tena furahiday nigh? patachimbika?sijui utamtoa nani OUT umuache nani?
Hii mpya au?
Mm wale wa Weka picha wananiacha hoi sana ila kwny uhalisia TEAMBAZAZI sijajua harakati zao kwa umu ndani ila kwa uku mtaani ndo wanainchi wenzangu.