CHE Raptino
JF-Expert Member
- Mar 11, 2017
- 1,027
- 1,068
Wamekupata
Usijali mwaya. Karibu rafiki.Asante rafiki
Mtanisamehe bure maana nimekosea njiaMabinti mkuje huku mpatemo fundisho
Sasa na wewe umezidiMtanisamehe bure maana nimekosea njia
Hata ww si mbaya ukatoa maoni yako palipo na mwana- Me hakosekani Mwana-KeMtanisamehe bure maana nimekosea njia
Asante kwa kushukuru mkuuYote ulosema , Nimaelezo ,kwakweli umetoa maelezo ambayo Nawataman waolewaji wote wawe ivo.
Watu niwabishi sana ,, ila Mimi nikiwa mmoja Wa waoji naomba Mbingu zinikutanishe na mwanamke Uliyemuelezea hapo !!!.
Unataka kuolewa alafu kila Siku unashinda bars ??? Club ?? Kweli ?? Unataka kuolewa alafu hujajianda kuolewa ????....
Elvee Asante Mama ,kwa kuwakumbusha.
me nafikiri wanaume wote ni wema ndomana hakuna conditionsImeandikwa mke mwema hutoka kwa bwana na mume mwema hutoka wapi?
Uko vizuri. Hongera sana. Jitahidi kuishi maneno yako!..Bado