Nisapoti.com Mkombozi kwa Content Creators Tanzania

gabylovestech

Member
Joined
Jul 13, 2025
Posts
20
Reaction score
50

So kila siku nimekua nikipata zile “bro unajua sana” nakukubali sana , bro unajua blah blah…​

Lakini ukweli ni kwamba it takes a lot kuwa consistent kushare #MadiniYaGaby.

Na si mimi tu — hii story ni ya kila creator anayejaribu kusukuma content consistently.

Wazungu kwenye YouTube na socials wana kitu wanaita “Buy me a coffee.

Yaani ukipost kitu cha maana, kina Value, unapata Tip toka kwa audience yako.

Kama vile unavyotoa Tip kwa Bar au kwa dereva wa Bolt. Ama mpenzi wako😅

Sasa nikasema, mbona sisi pia hatuwezi kuwa na yetu?

So I sat down with my team, tukaCREATE kitu special kwa African creators.

Introducing: nisapoti.com

A simple, clean, and local platform ya ku…

  • Receive tips from your audience
  • Support fellow creators
  • Withdraw instantly via mobile money
Kama wewe ni content creator, writer, podcaster, chef, teacher, au dancer

Nisapoti ni njia yako mpya ya ku-monetize gratitude ya audience yako.

Unapost, wanaona Value, wanakutumia asante kwa nisapoti.com

Sign up takes less than 1 minute.

Link ya profile unashare kwa bio zako zote.

Siku ya kufungua account yako ni leo:
 
Hoo nk hatua kubwa sana mkuu hongera 👋
 
Back
Top Bottom