Nisameheni

Huyu Kaizer...Kaizer, Kaizer...

Sijui wawatenda nini hawa wana JF waliojitupia asante zao :

The Following 5 Users Say Thank You to cheusimangala For This Useful Post: anyisile obheli (Today), Dreamliner (Today), father-xmas (Today), Mzee Mwanakijiji
(Yesterday), queenkami (Yesterday)
 
ahhhh! niseme nini tena dada yangu πŸ™‚ watakaopata mfadhaiko watajiju...Kweli anayeomba mara nyingi maombi yake husikilizwa.
sio siri watajeijei,kwanza tukikutana nao huko mitaani tutajificha au hatutatoka ndani basi wkt mungu mwenyewe hakuona tatizo ndo mana akaumba wengine wawe hivyo!
 
sio siri watajeijei,kwanza tukikutana nao huko mitaani tutajificha au hatutatoka ndani basi wkt mungu mwenyewe hakuona tatizo ndo mana akaumba wengine wawe hivyo!

Kabisa CM, na huwa tukiwaona hao waliopewa upendeleo maalum na Muumba wetu kimaumbile basi husimama pembeni kwa madakika chungu nzima kushangaa shangaa kwa kazi ya Muumba wetu inavyovutia na kutuweka kwenye majaribu makubwa πŸ™‚
 
Kabisa CM, na huwa tukiwaona hao waliopewa upendeleo maalum na Muumba wetu kimaumbile basi hunasimama pembeni kwa madakika chungu nzima kushangaa shangaa kwa kazi ya Muumba wetu inavyovutia na kutuweka kwenye majaribu makubwa πŸ™‚
hahaa du!utaumwa na shingo kwa kushangaa lol!
 
Cheeeeeers!!!! Imeandikwa Ombeni nanyi mtapewa pigeni hodi nanyi mtafunguliwa lol wewe dada yangu wewe you have made my weekstart sema unataka nini as zawadi kwa kusikiliza kilio cha wengi manake hebu hii ni post ya ngapi vile!!!? Senksi for ze nidful change umezaliwa upyaaa
 
ngoja nifikirie halafu nitakwambia zawadi ninayotaka!
ila kuna post yako umeandika kule nyuma unajua umenichekesha hadi nikahisi una lengo la kuniua kwa kunivunja mbavu!lol
 
hahaa du!utaumwa na shingo kwa kushangaa lol!

Ndiyo majaribuni yenyewe hayo....πŸ™‚ si bora uumwe shingo tu πŸ˜‰ Serikali ingekuwa inakusanya kodi kwa kushangaa shangaa kwa aina hii basi tusingehitaji tena msaada toka kwa nchi wafadhili ili kufidia pengo katika bajeti yetu πŸ˜‰
 
ngoja nifikirie halafu nitakwambia zawadi ninayotaka!
ila kuna post yako umeandika kule nyuma unajua umenichekesha hadi nikahisi una lengo la kuniua kwa kunivunja mbavu!lol

Ipi tena hiyo sis? wacha nichek makabrasha yangu zen I will be back asap
 
Ndiyo majaribuni yenyewe hayo....πŸ™‚ si bora uumwe shingo tu πŸ˜‰ Serikali ingekuwa inakusanya kodi kwa kushangaa shangaa kwa aina hii basi tusingehitaji tena msaada toka kwa nchi wafadhili ili kufidia pengo katika bajeti yetu πŸ˜‰
yaah!nadhani saa hizi tungekuwa tunapita ktk flyoverz na usafiri wa mbagala ingekuwa huitaji kumkwida mtu ili uingie ndani ya basi.lol
 
Ha ha haa CM itakuwa ile ya kuwa some men were left with spots on their pants, si ndio eeh? we acha kuna watu wengine vinyamkera vyao viko karibu karibu na ni rahisi sana kupigwa na stroke kwa vitu kama hivi
 
rayb huwa unaniongezea umri kwa kucheka,mpaka dkk hii kuishi bila wewe itakuwa ngumu kidogo!
 
Halafu kwa taarifa tu ili nisije kukupoteza tena nimekukopi na kukuweka katika safe file na nimelock hakuna mtu wa kulokua hapo, ila usiwe na wasi sijakuweka kwenye chupa mamaa
 
maria roza mi nashangaa kule ukiwavurumishia mavituz wanakaa kimyaaaa wala hawakumbuki kama kuna dhambi!

Mhh wewe acha tu kule nako kugumu kweli ila nakomaa nao maana ukiwasikiliza watakupanda mpaka kichwani!!πŸ˜€
 
rayb huwa unaniongezea umri kwa kucheka,mpaka dkk hii kuishi bila wewe itakuwa ngumu kidogo!

Thats my pleasure and if am not mistaken I was the first to applaud your avatar tulipogongana some where na nikakupa mistari kadhaa yenye vina lukuki teh teh
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…