Nisameheni

Mimi nilikuwa siilewi au sikujua maana ya AVATAR yako.. Thanks kwa wewe kuelewa.
 
sasa wakizuka watu na kusema wao jina "cheusimangala" linawaacha "hoi" utabadili
jina? si unajua tena kila mtu anakituchake kinampeleka spidi lol
 
sasa wakizuka watu na kusema wao jina "cheusimangala" linawaacha "hoi" utabadili
jina? si unajua tena kila mtu anakituchake kinampeleka spidi lol
Hii avatar ilikuwaje? nafuatilia posti lakini nashindwa kuelewa, naomba nifahamishwe.

Kuhusu cheusimangala, ni kweli- cheusi ni sifa inayoelezea uzuri wa mhusika unaokolezwa na rangi yake nyeusi. Ingawa sielewi avatar ya mwanzo ilikuwaje, jina lake bado ni kivutio kwa PMs kuendelea kumiminika. Tena ingefaa zaidi avatar yake mpya ikaonekana na ngozi nyeusi sawasawa na sifa nzuri ya cheusi inayoelezwa na jina lake. Si vibaya kupata PMs inaonekana u mtu wa watu.
 
ayaaaah naona jamvi limepooza bila kale ka avatar...kalikuwa na mvuto wa sumaku daaah!
cheusiii nauheshimu uamuzi wako mamaa...inahitaji roho ngumu kuendelea na kitu ambacho watu wanadai kinawaingiza dhambini hivyo umefanya uamuzi wa busara....japo mimi hujanichumisha dhambi tehetehe.....lol
kuwa na amani mama nina uhakika wote uliowakwaza wamekusamehe japo mimi silioni kosa la kale ka nanihiii kako ka mwanzo.stay positive n be blessed!
 
Ilikuwa ni moto wa kuotea mbali. Mimi sikutuma PM ili kujilengesha hahahahahaha lakini kila nilipokutana na jumbe ya CM nilisimama na kuadmire kazi ya Mungu katika maumbile yale ya kukata na shoka. Sasa sijui itakuwaje kama baadhi wataamua kufungua petition kwamba Avatar ile irudishwe haraka sana maana kuondolewa kwake kumewakwaza....LOL!
 
Hapa siwezi kujibu kitu manake kuna conflict of interest....
 
Waweza kunieleza nipate picha ya avatar, maumbile gani yaliwakilisha ile avatar?
 
Can someone close this topic? Haina maslahi ya taifa hata kidogo! Avatar zinaendana na hulka za mtu.......C M ndivyo anavyoendana na kile kipicha!
 
Waweza kunieleza nipate picha ya avatar, maumbile gani yaliwakilisha ile avatar?

Itakuwa vizuri CM aiweke tu hapa ili ujionee nini kiliwafanya njembas wammiminie miPM kibao kwa nia ya kujilengesha 🙂
 
Can someone close this topic? Haina maslahi ya taifa hata kidogo! Avatar zinaendana na hulka za mtu.......C M ndivyo anavyoendana na kile kipicha!
kwa hiyo mkuu hiyo ya kwako inaelezea hulka gani ulizokuwa nazo wewe.....?
sio lazima kila kitu kinachoongelewa humu ndani kiwe na maslahi ya taifa....kwanza leo week-end nani anataka kusikia siasa kila wakati?.......
 
yeah thats me mkubwa! Huwa unasahau taifa lako week end?
 
tehetehe....... na mimi najihisi kukwazika kwa kutolewa kwa ile kitu,ilikuwa matata sana kiongozi.
cheusiiiiiiiiiiii my queen tafadhali badili mwendo huo mangala wee mangala wee mrembo wa afrika..........,hebu ufikirie upya uamuzi wako......eeeh mtoto mtiifu father-xmas atakupatia zawadi ukiirudisha ile ya mwanzo.... hii inazingua sio siri.....!
 
Kwi kwi kwi kwi 🙂 (Cheko hii ilianzishwa na Nyamranga kule Tanzanet alias Zanaki na ikaja kupata umaarufu mkubwa miongoni mwa Watanzania)
 
Mimi niliikopi hapa ktk screen yangu lakini imefutwa bana nahisi ni huyu mtarajiwa nadhani lol tupe walu link ya chimbo ulikoitoa CM-ila woga wako huo itafika mwishoni utabadilisha na jina lako manake mimi hata hilo nalo lanitia faraja ati
 
ngoja nadhani ata do ze nidiful
 
RayB, basi nielezee kwa maneno avatar ilikuwaje na nitapata picha wakati ombi la kurudishwa kwake likifanyiwa kazi.
 
ngoja nadhani ata do ze nidiful

yeye si kadai moja ya sbb ya kuitoa ni wingi wa PM.....!!
mimi nitamtumia mvua nyingine ya PMs za kuomba airudishe ile ya kwanza mkuu....labda mrembo atabadili mwendo huu!lol
 
yeye si kadai moja ya sbb ya kuitoa ni wingi wa PM.....!!
mimi nitamtumia mvua nyingine ya PMs za kuomba airudishe ile ya kwanza mkuu....labda mrembo atabadili mwendo huu!lol

hhaha ingekuwa sasa hivi ni wakati wa krishmasi, apo kweli ungeweini lakini kwa sasa ngoja wenye 'property right' tu do ze nidiful kwa afya yako!
 
Pole Cheusi kwa usumbufu unaopata kutokana na ile avatar ya mwanzo. Kimsingi ilikuwa inanipa apetite ya kusoma posts zako. By the way nitajitahidi kuizoea hii mpya,natambua ilikuwa nje ya uwezo wako bibie.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…