mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Lead me not to temptation,I can find it myself!!!Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,
Ni mara kadhaa nimekuwa nikikutana na coments za kaka zangu wakidai kuwa avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.
Mimi ni binti wa kikristo,hivyo kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu ndio maana nimeamua kuitoa avatar ile.
Mbaya zaidi najiona nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu nikiwasihi tuache maasi lkn avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi.(nimetubu kwa hilo,nanyi tubuni).
Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.
now i know what carmel waz talkin about,nimekoma jamani!!!
kaka zangu nisameheni hakika sikujua kama kale ka-avatar yaani kanaweza kuwatia majaribuni jamani.
I love u all.
daktari wangu unayefanya upasuaji bila kuacha makovu,huna haja ya kuwa na presure,si unaona editor mwenyewe yuko ki msimu zaidi!hebu fatilia B,,,, kuna mtu anajifanya championi wa kuedit apo., Mi akija CM akamblast simo! ataka kuvaa viatu vya wakubwa
hiyo roho yako wangeitolea wapi mamii?? kwa kutoboa avatar yako au??
mi nadhani ni busara kuishi vile upendavyo na si vile walimwengu watakvyo
mwisho wa siku utajilazimisha kurukia usipofikia ikawa tabu
(hapa ni dada to dada talk Cheusi)
daktari wangu unayefanya upasuaji bila kuacha makovu,huna haja ya kuwa na presure,si unaona editor mwenyewe yuko ki msimu zaidi!
eeeeeeeeeh!!! nimesoma kiundani zaidi
usiende sana deep bht,
Mmmmh!! Hapa unanishawishi nitoe talaka lejea. Mtamaliza muda gani ?.usiende sana deep bht,
usiende sana deep bht,
Mmmmh!! Hapa unanishawishi nitoe talaka lejea. Mtamaliza muda gani ?.
Hahaaa!! si huko anako kwambia usiende deep ?kumaliza nini tena?
daktari wangu unayefanya upasuaji bila kuacha makovu,huna haja ya kuwa na presure,si unaona editor mwenyewe yuko ki msimu zaidi!
CM, wala hanipi pressure uyo,
@bht,vipi B siku hizi unaingia sana ndani aka deep eeh
Hahaaa!! si huko anako kwambia usiende deep ?
Nimeogopa ,Hadi mwenzio anaomba usiende deep sana! Kazi ipo jamani..!!CM, wala hanipi pressure uyo,
@bht,vipi B siku hizi unaingia sana ndani aka deep eeh
B ujue tabia yako ya kutochukua manano kama yalivyoandikwa ndo imenifikisha hapo.....
hahaaaa lol!!!
Kaizer atajibu hapo
Nimeogopa ,Hadi mwenzio anaomba asiende deep sana!!!
hahahahaha B wewe yani umenibadilishia kibao?
lol nimeona ndo namjibu apa chini
mkulu bht na CM hawawezi kudhuriana banaπ
hahahahaha B wewe yani umenibadilishia kibao?
lol nimeona ndo namjibu apa chini
mkulu bht na CM hawawezi kudhuriana banaπ