"Piiiipiii"
Honi ilisikika nje mara tu baada ya tunda kuondoka
"Piiiiiii"
"Maama, kelvn huyo ubaki salama, uji upo kwenye chupa naomba ule mama"
Tunu aaliaga na kuondoka haraka haraka
"Hey, wow"
Kelvin alishuka kwenye gar na kuvua miwan yake kubwa ya kibishooo
"Umependeza sana"
"Asante"
Alijibu tunu kwa aibu
"Mambo"
"Aiseeee unanukia"
Kelvin alisogea na kumshika tunu mkono wake
"Simain, umekuwa binti"
"Jaman kelvin asante"
Alijibu tena tunu
"Nipo tayaar"
"Sijamsalimia mama"
Alijibu kelvin
"Au twende ntamsalimia nikirudi"
"Okay"
Tunu alifungua mlango na kuket siti ya nyuma
"Oooookh nooo!!! Kaa mbele mamy"
Kelvin alifungua mlango wa mbele na kumpisha tunu
"Ket hapo"
"Asante"
Tunu alijibu kwa aibu
"Si unajua kudrive?"
Kelvin alibaki anamshangaa tunu
"Shika njoo udrive, nataman nikuangalie tu"
"No leseni yangu imeexpire"
Tunu alijibu
"So naomba udrive"
"Okay tunu"
Kelvin alimpisha tunu siti ya mbele na yeye kukamata usukani.
Laiendesha taratbu huku akifungulia ka ac kasaizi nzuri isiyomkera tunu
Walitembea umbali mrefu kidogo hadi ofisini, ilikuwa ni kampuni ya kelvin ya uagizaji na usafirishaji wa magari.
"Karibu"
Kelvin alimkaribisha baada ya kufika
"Karibu sana"
"Asante"
Tunu alibaki anahemaa kwa shida
"Asante kelvin"
Walishuka wote wakaingia ndani kwenye ofisi.
"Hey attention"
Kelvin aliwasimamisha kaz wafanyakazi wote
"Hey"
Wote waliacha kufanya kazi na kumtazmaa kelvin
"Huyu ni tunu, atakuwa mfanyakazi wa hapa kuanzia leo"
Alijibu kelvin
"Karibu tunu"
Watu walimkaribisha
"Asante habari za asbh"
Tunu alisalimia kwa aibu
"Nzuri karibu"
Alijibu kijana mmoja kwa haraka
"Karibu tunu am Daniel"
"Hey, huyu ni senior manager"
Kelvin alitangaza, kila mmoja alishtuka hata tunu mwenyew alishangaa
"Manager?"
Wote walishangaa
"Boss, juzi ulisema unataka kumpromote mtu kuwa senior manager na unataka kufanya assessment ya ufanyaji kazi iwej....?"
Alitaka kuuliza daniel
"Mmmmh mmmmh"
Kelvin alizuia kikao cha ghafla
"Nishafanya maamuzi huyu ni senior manager no questions daniel utamwelekez majukum yote yanavofanyika"
"Asante kelvn"
Tunu alijikuta anashukuru tu
"Asante sana"
"Aaakh daniel, mtashare office"
Alisisitiza kelvin
"Tunu, huyu ndo daniel ni manager hapa utakuwa msaidizi wake right?"
"Okay, karibu tunu"
Daniel alimshika mkono tunu na kümkaribisha
"Karibu jïsikie huru"
"Asante"
Tunu nae alimtazama daniel usoni na kutabasamu.
Labda ni daniel tu lakin hakuna mfanyakazi wa kelvin aliefurahia nafasi aliyoipata tunu htaa kidogo, wengi mioyo iliwauma sanaa maana walikuwa wanaipigania sana nafasi ile ila iliangukia kwa mwingine!!!!!!
#mdogo mdogo tunasonga
Hadithi nisameheni 10
Mtuzni Vickie
Mawasiliano inbobo
"Aaaakh aende tu"
Dan alijikuta ameropoka
"Hatukuwa na ishu kubwa mjini, hatukuwa nayo aende tu tushamaliza"
"Ndio....ndio.."
Tunu alidakia huku anahema
"Am sorry"
"Aaakh tayar nna mihadi mingine so, dan atakupeleka nyumbani"
Kelvin alijibu naa kutabasamu
"Nadhan imekaa poa?"
"Mmmh mmmh"
Alikataa tunu
"Sio, sio kwambaa nna mihadi na na mtu yeyote narud nyumbani tu"
"Ok utapanda daladala sielekei uelekeo huo au mwombe dan akupeleke"
Kelvin alirudi kwenye gar na kuondoka kwa spidi hakutia neno lolote lile wala kuzungumza kit zaidi ya tabasamu.
"Umefnaya nini?"
Tunu alianza lawama
"Umefanya nini?"
"Sijafanya kitu"
Alijib dan
"Bosi anakutaka"
"Haayakuhus, kwanini umenipora simu? Ukaizima? Daniel daniel"
Tynu aliita kwa hasira na kuondoka
"Kuharibiana maisha tu"
"Tunu naombaa nikupelek...."
Dan alimuwah na kumdaka mkono
"Nikupeleke please"
"Sitaki"
Tunu alijib
"Siend"
"Najua boss anakupenda, lakin mimi nakupenda kuliko boss, tunu please"
Dan alisisitiza
"Nimeanza kukupenda kitambo, usiangakie pesa aangalia mapenzi"
"Niache"
Tunu laitoa macho
"Sikutaki, sina hisia na wewe na usinifatilie"
"Sitokufatilia tunu lakin nak..."
Dan alitaka kubembeleza ila tunu aliondoka kwa spidi hakutaka nasaa za dani zaidi aliona ni ujinga.
Alipanda daladala na kurudi nyumbani kwa spidi sana kichwan akiwa na mawazo hakuelewa kama dina ipo aau hamna maana hata simu hakupigiwa na kelvin.