Nisameheni hadithi mzuri sana ya kusisimua

Nisameheni hadithi mzuri sana ya kusisimua

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,597
Kisa nisameheni 01



Tunu na. Tunda ni mabinti waliozaliwa familia yenye maisha mazuri kiasi kwa kumaanisha kwamba haakuna shida hapana, bali walipata kile walichokitaka, walipata mahitaji muhimu yote waliyoyataka.

Walipata elimu nzuri, walipata malaz pazuri na walilelewa vizuri na wazazi wao.
Tunu akiwa binti wa miaka 24 alishafanikiwa kumaaliza had elimu ya chuo kikuu huku tunda akiwa na miaka 17 pekeee yeye ndo alikuwa anahitimu kidaato cha sitaa.

Mabinti hawa kama wanavoita vijaana wa mjini pisi hzi kali walilelewa kwa upendo sana, walipendana mno maisha yalikuwa mazuri maana baba yao alikuwa anafanya kazi serikalini hvo waliishi katika nyumba nzuri za serikali huku wakitembelea gar za serikali.

Aliwapenda mno mabinti zake, wakaati huo tunu akiwa anahangaika kuomba kazi sehemu mbali mbali, upande wa pili tunda alikuwa anasubir matokeo ya kidato cha sita.

"Krismasi hii nawapeleka dubai"
Ilisikika sauti ya bbaa yao wakat wote huo walikuwa wanatazama video

"Babaa unatoa mihad leo? Mbna krismaasi bado sana?"
Aliulizaa tunu
"Au umefurahi nini?"

"Matokeo ya tunda yakitoka, yakiwa mazuri akapata chuo kizuri kwanini sisi tusiende kufurahi Dubai?"
Aliuliza baba yao

"Lakin baba"
Tunda alitoa macho
"Had nipate divishen ngap"

"One, kama dada aako"
Alidakia mama yao wote wakacheka

Familia hii yenye upendo ilikuwa na watoto waawili peke yake na wote walikuwa ni mabinti tena waliojaliwaa kuitwa watoto wa kike.

"Hvi tunu, moambi ya kazi yamefikia wap?"
Aliuliza baba yao

"Aaaaakh, baba nimeomba tu sehemu chache lakin yenye uhakika ni moja kwenye ile kampuni ya kusafirisha mizigo posta"
Alijibu tunu
"Japo sio kwamba wanamshahara mkubwa ila nna matumain"

"Ndo unaanza ni bora upate kazi tuanze kutafuta raaman pengine"
Alijibu mama yao
"Sawa?"

"Ndio mama"
Tunu alijibu

"Mimi naenda kupumzika"
Tunda aliinuka
"Goodnight"

"Na kwako pia"
Waliitikia tunda akawah ndani kupumzika

"Kanapenda usingizi haka, sijui kama katafauli"
Baba tunu alianza maneno
"Kidogo tu kaamelala kama pono"

"Usimnenenee
mtoto mabaya"
Alijibu mama tunu
"Mimi naamin mwanangu kichwa yule"

"Sio kaama tunu"
Alijibu bbaa tunu

"Basi hapo tunu kichwa kinampasuka naa sifa"
Mama yaao alimtazama tunu
"Anavopenda sifa"

"Lakin maama kwani mimi sina akili?"
Aliuliza tunu kwa kudeka
"Mimi nnazo unajua sema tu basi"

"Unazo mwanangu wee"
Mama tunu alimshika mwanae nywele
"Nakuamin sana tunu mwanangu"

"Bora nikalale mwingine ananiponda mwingine ananisifia basi shida tupu"
Alijibu tunu

"Kalale mwanangu unaakili za kuzid"
Alijibu baba tunu
"Na ukikosa kazi wewe nakutafutia mtaji ukauze maembe dubai"

Wote wakaaangua kicheko tena
"Ila baba jaman maembe dubai? Nan atanunua?"

"Ndo nishakwambia najua utauza tu kaama unanunua embe moja mia tano? Utaashindwaje kuuza kule embe ni elfu sitini ya tanzaniq"
Qlijibu babaa tunu

"Unamjaza mtoto ujinga"
Alijibu mama tunu
"Kalale mwanangu najua umechoka"

"Haya na wewe inukaa tukalale wanao wamejichekesha wametuaacha haapa"
Baba tunu alimshika mkewe mkono
"Inukaa twende"

"Tunaenda"
Alijibu mama tunu na kuzima video

Hayo ndo maisha walokuwa wanaishi familia ya mama na babaa tunu, familia yenye upendo mkubwa sana, hapakuwa na makwazo wala vita walipendana mno.

Tunu na tunda walikuwa zaid ya marafiki pamoja na kuwa ni mtu na daada ake tena waliachana zaid ya miaka saba lakin upendo ulikuwa mkubwa sana, tunu alimpenda mno mdogo wake na alipenda kumsaaidia kwa kila kitu.

Siku hii mpya baada na iliyonjemaa sana tunu alirudi kwao akiwa na bashasha kubwa sana aliimba nyimbo zote za kumsifu Mungu.

"Kuna nini?"
Kila mtu alimtolea maacho
"Mbna kelele?"

"Nimepata kazi"
Alitamka kwa nguvu wote walishangilia
"Nimeingia kwenye account yangu nimechaguliwa"

"Wewe jaman hongera tunu"
Tunda alifurah pamoja na ddaa ake

"Hongera mwaanangu hongera"
Wazaz wake walimpongeza bahati iliyoje unamaliza tu chuo bila kusota mtaani una bahatika kazi? Ilikuwa ni furaha isiyo na kifani.....

#itaendelea
 
Kisa nisameheni 02


Baraka zilikuwa zinakuja dabo dabo kama wasemavo wazungu wiki moja baadae wakat tunu anashangilia kupata kazi tunda alikuwa anashangilia kufaulu mtihani wake wa kidato cha sita.

Walifurahi sana, nyumba ilikuwa na shamra shamra zisizokuwa za kawaidaa wazaz wao walifurahi na kujisifu sana kwa kupata watoto wanaowaapa raha.

Mda wote tunu na tunda walikuwa wameungana wanaasaidiana kwa kila kitu mshahara wa
Tunu ni kama ulikuwa wa tunda vile maana tunu alinunua vitu vyake na vya tunda kila alichonunua hakumsahau tunda mdogo wake kipenzi.

Nini basi kivinje huu muunganiko mkubwa? Hapakuwa na kitu cha kuwaatemganisha walipendana sana na vile walifanana kiasi basi watu walihisi ni mapacha kaabisa.

Maisha yalibadilika kama ilivokuwa ahadi ya baba yao aliwapeleka waanaae kula bataa dubai.
Walikula bata za kutosha walifurahia maisha ya dubai kwa siku kadhaa ambazo walikaa kule kama familia.

Mapenzi ya baba na mamaa tunu yalikuwa ni kama yanachipua siku hiyo maana walipendana haad waliowaonaa kwa mara mojaa walihisi ndo wanatongozana siku hyo.

Licha ya mama tunu kuwaa mama wa nyumbani lakin alivaa nguo za gharama, alisuka nywele nzuri mume wake hakuwahi kujisahau kuhusu matumizi ya mke wake alimpenda saana.

Walimaaliza kula raha basi walirudi nchini kwaa ajili ya kuendelea na majukumu huku tunu akirudi kuendelea na chuo ambacho dada ake ndo alimsaidia kuomba.

GGM company ndio ofisi ambayo tunu anafanya kazi.
Tunu alipendwa sana, kwanza alikuwa ndie binti mdogo kuliko wote ofisini pia ndo alikuwa mcheshi na mwelewa wa haraka sana kwa kila kitu.

Tunu alijitahidi kufanya kaz kwa weledi mkubwa sana, alipaambanaa sana kila aliefanya nae kazi alimpenda tunu hata wateja wengi walimpenda tunu kutokana na ufanyaji wakr wa kazi.

Siku hii alishangaa bosi wake alimwita ofisini alikuwa ndie mmlik wa kampuni.
"Tunu hongera sana unaafanya kazi vizuri na tangu umeingia kwenye kampuni yangu nakuona wewe ni tunu kwel"

"Asante boss"
Tunu alitabasamu na kufurahia pongezi

"Niite jason"
Alijibu boss yule na kusimama

"Aaalh sawa boss"
Tunu alibabaika, angemwitaje jason angali licha ya cheo alichonacho hata umri wake alikuwa anastaili kumwita boss huyo ni baba? Mbaya zaidi boss alikuwa naa pete kidolen kumaanisha alikiwa ni mume wa mtu.

"Tunu"
Boss alitoka kwenye kiti chake na kuketi mezan karibu kabisa na tunu
"Naitwa jason mbna unapenda kuniita boss? Mimi sipend mwenzio"

"Sawa mr Jason"
Alijibu tunu

"Unamda? Tunaweza kupata lunch?"
Aliulizaa tunu
"Mda huu? Tunawez kwenda pomoja?"

"Hapana nnakazi namalizia"
Alijibu tunu
"Naandaa ripot ya mwisho wa mwezi"

"Usijali ofisi ni yangu na ...unawez kuiandaa haata kesho"
Alijibu jason
"Nahitaji muda na wewe"

"Hapana"
Alijibu tunu
"Kesho nna mihadi na wateja wa kaampuni mbili na wote wanahitani vitu vingi na...na...."

"Na nini?"
Jason alimfokea tunu ndo ilikuwa mara ya kwanza kumwita tunu ofisini kwake aliona anamsumbua

"Sipo tayar"
Alijibu tunu kwa hofu
"Asante"
Aliinuka na kumwacha boss wake anatabasamu hapo mezani

"Utanitafuta"
Alijibu mr jason.

Tunu alitoka moja kwa moja naa kupitiliza had kwenye meza yake alipoteza uchaangamfu wote alikuwa mnyonge kabisa.

"Vipi? Anakutakaa?"
Aliulizwa na mfanyakZi mwenzie swaali lililomshtua sana tunu

"Nan?"
Aliuliza tunu

"Boss kakutongoza?"
Alirudia swali lake kivingine

"Lkain sippo tayar, simtkai"
Alijibu tunu huku machozi yakitaka kumlenga ila aliyaazuia na kuona ni ujinga
"Siwez kutembea na yule mzee"

"Hakuna mfanyakaz wa hapa ambae hajamtongoza au kulala nae na ukiweka msimamo utapoteza kazi"
Alijibu ddaa yule
"Ni vile tu kuwa makin na akikulazimisha kondom zippo"

"Sawa, sio lazima kazin kwake mimi nimesoma ntapata ingine kwan ofisi moja?"
Aliuliza tunu
"Siwez kusimama mbele ya yule mzee bila nguo"

"By then lunch time, sisi tunaenda kula"
Aliinuka dada yule na kumwacha tunu na mawazo lukuki
"Huend?"

"No nakuja naendaa"
Tunu aliinuka na kumfata dada yule nyuma bila kuwaza au kupanga kama anataka kula au laa, ila hakutaka kukutana na boss wake akiwa peke yake tena.

"""""""
 
Jion tunu alirudi kwao amepoa sana, akili ilikuwa imemganda aliingia chumbani kwake na kujilaza akiwa hoi.

"Leo umefnaya kazi nyingi naona huongei"
Aliuliza mama tunu baada ya kumwona mwanae ameingia hayupo sawa

"Yes ni kweli"
Alijibu tunu
"Kazi nyingi"

"Tunda, we tunda"
Aliita mama tunu
"Mletee dada ako chakula"

"Sawa mama"
Tunda alipakua chakula na kumpelekea dada ake chumbani
"Shoga unaumwa?"

"Amna uchovu tu"
Tunu alijibu kinyonge

"Mbna haupo sawa?"
Alishangaa tunda
"Au unajidekeza sasa unaajiona ushapata kaz ili tulete chakula chumbaan sisi vijakazi?"

"Ushaanza maneno maneno"
Alimkatiza kwa mbele mdogo ake
" Sipendi"

"Bwana eeh sasa kama tunauliza unaumwa hujibu? Si useme kuna nini unatak? Unataka kutupa presha tunumekuta watu tupo na mood"
Alijibu tunda huku akiweka sahan ya chakulaa chini
"Kula basi au had ulishwe?"

"Mwache dada ako wewe kipepe nenda nje"
Alijibu maama tunu
"Toka nje bwana weee"

"Unamtetea sana mwanao ila anajidekeza"
Alijibu tunda na kutoka nje

"Mwanangu?"
Mama tunu aliuliza kwa utulivi
"Hebu niambie mama? Kuna nini?"

"Boss ananitaka kimaapenzi"
Alijibu tunu
"Mbaya zaidi ni mume wa mtu, na ni mzeee alafu...alafu inasemekaana ukimkataa unapoteza kazi"

"Sasa hiko ndo kikuwazishe"
Tunda alisukuma mlaango naa kuuliza
"Wewe amua kaazi au hutaki Kaz"

*Mtoto mbaya wewe hebu toka huko si nilikufukuza?"
Mama tunu alimfukuza tunda nje
"Lione mtoto mnaya wewe"

"Yan mimi nabeba chakula had nje huku kumbe ni mambo hayo? Kwaan kutembea nae wa kwanza wewe"
Tunda aliuliza
"Kazi ngumu sasa hv"

"Toka huko"
Mama tunu alifunga mlango
"Mwanangu, achana na wehu wa mdogo wako, magonjwa meng mwanangu usikubali sawa? Kama anakufukuza kazi bora uache na sio kutembea na mume wa mtu mwanangu saawa jiheshimu mwanangu"

"Mama nimekaataa"
Tunu alitaman kulia
"Kazi yenyew ndo naanzaa balaaa gan hili?"

"Naomba uache hyo kazi, andika barua ya kuacha kazi sawa mwanangu? Baba ako anajuana na watu ntaamwambia atakutafutia pengine"
Mama tuny alimwambia mwanae
"Sawa mwanangu?"

"Sawa mama"
Tunu alikubali



Kweli tunu alifata ushauri wa mama yake siku iliyofata tu aliandika barua ya kuacha kazi na kuondoka ofisin mle hakutaka mchezo alishika msimamo wakr kama mama ake alivokuwa amemuambia alishika mausia ya mama ake ofisi ilisikitikaa sana tunda kuacha kazi tena mapema hvo ila boss alijiamin tu na kumwambia..

"Utarudi tunu, utarudi kunilamba miguu"
Alisema boss
"Wenzio wanatoa chako kina nini?"

"Nenda kafanye ufuska wako kwa hao hao sio mimi"
Tunu alijibu
"Najipenda na najilinda"

"Kwenda huko kwa uzuri gan?"
Aliuliza boss
"Na umewah ningekujaza mimba"

"Never happen"
Alijibu tunu
"Sahau"

Maisha mapya ya nyumban yalianza wakati huo tunda alikuwa chuo mwaka wa kwanza zoezi ya kulipa ada na matumizi lilirudi kwa baba ake maana tunu alilipokea lakin hakuwa na kazi tena

Maishaa yalikuwa mazuri na ya furaha had siku moja yalipobadilika kabisa ilikuwa ni siku tulivu ya jumamos.
Wazazi ya tuna na tunu walikuwa nyumban na watoto wao wakiwa na furaha.

*Leo nna kikao lakin sijisikii kabisa kutoka"
Baba tunu aliiambia familia uakr

"Kikao gan?"
Aliuliza mama tunu

"Mama wewe unakaa tu nyumban vikao utavielewa? Au untaaka kumsumbua tu baba?"
Aliuliza tunda

"Kwahyo unavoona mama amekaaa nyumban inamaana hajasoma?"
Tunu aliuliza huku aakicheka
"Mama amesoma huyu"

"Na uzee alionao unadhan anakumbuka kitu?"
Tunda alizid kuongea wote wakacheka

"Nna uzee gan mimi nikitaka kuolew tena naolewa chap chap"
Alijibu mama tun

"Mke wangu yan hata nikifa leo, mimi hakuoi mtu yan ntakutokea ndotoni niwasumbue had huyo baba anaekuoa akuaache"
Baba tunu alijibu wote wakacheka sana
"Ni kikao kuna wagen wanakuja jumatatu so nahitajika sana niwepo huko"

"Kama hujisikii kwenda acha fanyen kikao kwenye zoom"
Alijibu tun
"Siku hzi mambo kidigitali"

"Hata kama kidigitali lakin hatuwez kufanya kama vijana ni muhimu kuonana"
Alisisitiza baba tunu
"Acha niende"k
 
Kisa nisameheni 01



Tunu na. Tunda ni mabinti waliozaliwa familia yenye maisha mazuri kiasi kwa kumaanisha kwamba haakuna shida hapana, bali walipata kile walichokitaka, walipata mahitaji muhimu yote waliyoyataka.

Walipata elimu nzuri, walipata malaz pazuri na walilelewa vizuri na wazazi wao.
Tunu akiwa binti wa miaka 24 alishafanikiwa kumaaliza had elimu ya chuo kikuu huku tunda akiwa na miaka 17 pekeee yeye ndo alikuwa anahitimu kidaato cha sitaa.

Mabinti hawa kama wanavoita vijaana wa mjini pisi hzi kali walilelewa kwa upendo sana, walipendana mno maisha yalikuwa mazuri maana baba yao alikuwa anafanya kazi serikalini hvo waliishi katika nyumba nzuri za serikali huku wakitembelea gar za serikali.

Aliwapenda mno mabinti zake, wakaati huo tunu akiwa anahangaika kuomba kazi sehemu mbali mbali, upande wa pili tunda alikuwa anasubir matokeo ya kidato cha sita.

"Krismasi hii nawapeleka dubai"
Ilisikika sauti ya bbaa yao wakat wote huo walikuwa wanatazama video

"Babaa unatoa mihad leo? Mbna krismaasi bado sana?"
Aliulizaa tunu
"Au umefurahi nini?"

"Matokeo ya tunda yakitoka, yakiwa mazuri akapata chuo kizuri kwanini sisi tusiende kufurahi Dubai?"
Aliuliza baba yao

"Lakin baba"
Tunda alitoa macho
"Had nipate divishen ngap"

"One, kama dada aako"
Alidakia mama yao wote wakacheka

Familia hii yenye upendo ilikuwa na watoto waawili peke yake na wote walikuwa ni mabinti tena waliojaliwaa kuitwa watoto wa kike.

"Hvi tunu, moambi ya kazi yamefikia wap?"
Aliuliza baba yao

"Aaaaakh, baba nimeomba tu sehemu chache lakin yenye uhakika ni moja kwenye ile kampuni ya kusafirisha mizigo posta"
Alijibu tunu
"Japo sio kwamba wanamshahara mkubwa ila nna matumain"

"Ndo unaanza ni bora upate kazi tuanze kutafuta raaman pengine"
Alijibu mama yao
"Sawa?"

"Ndio mama"
Tunu alijibu

"Mimi naenda kupumzika"
Tunda aliinuka
"Goodnight"

"Na kwako pia"
Waliitikia tunda akawah ndani kupumzika

"Kanapenda usingizi haka, sijui kama katafauli"
Baba tunu alianza maneno
"Kidogo tu kaamelala kama pono"

"Usimnenenee
mtoto mabaya"
Alijibu mama tunu
"Mimi naamin mwanangu kichwa yule"

"Sio kaama tunu"
Alijibu bbaa tunu

"Basi hapo tunu kichwa kinampasuka naa sifa"
Mama yaao alimtazama tunu
"Anavopenda sifa"

"Lakin maama kwani mimi sina akili?"
Aliuliza tunu kwa kudeka
"Mimi nnazo unajua sema tu basi"

"Unazo mwanangu wee"
Mama tunu alimshika mwanae nywele
"Nakuamin sana tunu mwanangu"

"Bora nikalale mwingine ananiponda mwingine ananisifia basi shida tupu"
Alijibu tunu

"Kalale mwanangu unaakili za kuzid"
Alijibu baba tunu
"Na ukikosa kazi wewe nakutafutia mtaji ukauze maembe dubai"

Wote wakaaangua kicheko tena
"Ila baba jaman maembe dubai? Nan atanunua?"

"Ndo nishakwambia najua utauza tu kaama unanunua embe moja mia tano? Utaashindwaje kuuza kule embe ni elfu sitini ya tanzaniq"
Qlijibu babaa tunu

"Unamjaza mtoto ujinga"
Alijibu mama tunu
"Kalale mwanangu najua umechoka"

"Haya na wewe inukaa tukalale wanao wamejichekesha wametuaacha haapa"
Baba tunu alimshika mkewe mkono
"Inukaa twende"

"Tunaenda"
Alijibu mama tunu na kuzima video

Hayo ndo maisha walokuwa wanaishi familia ya mama na babaa tunu, familia yenye upendo mkubwa sana, hapakuwa na makwazo wala vita walipendana mno.

Tunu na tunda walikuwa zaid ya marafiki pamoja na kuwa ni mtu na daada ake tena waliachana zaid ya miaka saba lakin upendo ulikuwa mkubwa sana, tunu alimpenda mno mdogo wake na alipenda kumsaaidia kwa kila kitu.

Siku hii mpya baada na iliyonjemaa sana tunu alirudi kwao akiwa na bashasha kubwa sana aliimba nyimbo zote za kumsifu Mungu.

"Kuna nini?"
Kila mtu alimtolea maacho
"Mbna kelele?"

"Nimepata kazi"
Alitamka kwa nguvu wote walishangilia
"Nimeingia kwenye account yangu nimechaguliwa"

"Wewe jaman hongera tunu"
Tunda alifurah pamoja na ddaa ake

"Hongera mwaanangu hongera"
Wazaz wake walimpongeza bahati iliyoje unamaliza tu chuo bila kusota mtaani una bahatika kazi? Ilikuwa ni furaha isiyo na kifani.....

#itaendelea

Ukitaka full story ni 2000 unapata story tatu moja chombezo welcome
ONDOA UJINGA WAKO HAPA. YAANI UNAANZA KUSIFIA ETI HADITHI NZURI YA KUSISIMUA UKITEGEMEA NDO UTAVUTIA WATU. WAKATI HATA KUANDIKA TU HUJUI. UNAANDIKA KAMA MTOTO WA DARASA LA PILI E. KWA NINI USIENDE SHULE KWANZA UKASOME?
 
'" kabisa unadhan wazee kama hawa wanajua zoom?"
Tunda aliuliza
"Wamezoea kukutana tu"

"Yan tunda kila kitu unapinga?"
Mama tunu aliuliza
"We mtoto sijui upojr?"

"Hebu achen niende ila nimeamka sijisikii kabisa"
Baba tunu alijiandaa akatoka tayar dereva alikuwa anamngoja nje hvo aliingia kwenye gar nakuanza safar kuelekea kwenye kikao

Huku nyuma mama na mabinti zake waliendelea kukarangiza kama kawaida kuweka mambo sawa jikon.
"Umesikia kijana wa mzee marya amerudi kutoka uingereza?"
Aliuliza mama tunu

"Hapana"
Tunda alitoa macho

"Namwambia tunu sio wewe"
Mama tunu alimzodoa tunda
"Mwanangu"

"Sijasikia mama"
Alijibu tunu
"Anasemaje?"

"Nasikia anaanzisha kampuni yake, unaonaje tukienda kwao jion ili kama ukipata nafasi ya kazi kwenye kamp....."
Mama tunu hakumalizia simu yake iliita

"Tunda kalete simu"
Aliagiza mama tunu

"Aaakh ili umwambir mwanao habar za kelvin? Kwani mimi sitaki kuzisikia?"
Aliuliza tund
"Unaupendeleo sana mama, unampenda tunu kuliko mimi"

"Acha nikalete mimi mama"
Aliinuka tunu na kufata simu ya mama ake

"Nilijua akienda dada tunu utakaa kimya"
Tunda alilalamik
"Najua unampenda tunu"

"Hebuu kaa kimya"
Mama tunu alikasirika
"Si nimekutuma umegoma?"

"Kaa na mwanao"
Alijibu tunda

"Ni baba huyo"
Tunu alikuja na simu
"Yan ametoka sasa hv lakin kashaanza kupigaa"

"Pokea"
Aliagiza mama tunu
"Au lete"

"Ngoja nimchokoze maana kaondoka hapa sasa hv"
Tunu laipokea simu na kuweka sikion
"Haloooo umetoka hapa sasa hv ushatumiss"
Tunu alitania na kusikiliza sauti haikuwa ya baba ake, alisikiliza kwa sekunde kadhaa na kupigaa ngolo kubwa

"Uwiiiiiiii........"
Aliangusha simu chini

"Kuna nini?"
Mama tunu laisogea na kushika ile simu lakin ilishapasuka hvo ilizimika baada ya kuanguka
"Tunu? We tunu kuna nini?"

"Baba, baba, baba angu"
Tunu alianza kulia

"Kafanya nini si useme? Unataka kutupa presha tu hapa kuna nini?"
Tunda alisogea na kuuliza
"Baba kafanya nini?"

"Baba? Baba baba angu baba"
Tunu alilia sana alilia had mama ake akabaki ametoa macho alishika simu na kuanza kuinga unga hapo haraka hataka

"Baba kafanya ninj?"
Tunda alitoa macho huku machozi yanamtoka
"Baba kafanya nini?"

"Ame...ame.....ame ametuacha"
Tunu alizid kulia
"Baba ametuacha baba ametuacha"

"Wait, unatania si ndio?"
Aliuliza tunda huku aakitoa simu yake kwenye chaji pale sebulen na kumpigia baba ake hapo hapo.

"Halooo baba baba"
Tunda aliita kwa woga na kuweka simu loud spiker mama akr alisogea na kumpora tunda ile simu

"Baba T baba T"
Aliita

"Habari, hapa ni hospital ya st Monica manzese unaonangea na dokta Braiton"
Alijibu daktar upande wa pili

"Mwenye simu yupo wap?"
Aliuliza mama tunda huku akihangaika kumsimiliza
'yupo wap baba T?"

"Aaaakh amepata ajali ameumia kidogo tunaomba ufik hospital"
Alijibu daktar

"Muongo muongo kaniambia kania baba ametutoka kasema kabisa kubwa baba amefariki"
Tunu alizid kulalamika

"Hapana nimesema kwenye ajari mmoja amefariki ambae ni aliekuwa anaendesha"
Alijibu daktar
"Uwe ja aamani baba enu yupo salama

"Sawa tunakuja"
Mama tunu aliinuka
"Twende acha kulia tunu baba ako yupo salama"

"Sina amani mama, ndo maana baba alikuwa anasitasita kuondoka"
Alijibu tunu na kujifuta machozi

"Unapenda sana uchuro wewe kazi kumchulia baba et amekufa"
Alilalamika tunda

"Wewe ndo ulimwambia baba aende"
Alijibu tunu kwa hasira
"Mimi nilisema afanye online ukasema mzee"

"Acheni kuzozaana tukamwangalie baba enu"
Alijibu mama tunu huku akitangulia nje, tunu na tunda walifata haraka waliingia kwenye gari had hospital ya st Monica walipoelekezwa.

"Tunamtafuta dokta Brai"
Tunda aliongea haraka
"Kuna mgonjwa"

"Msubirini hapo"
Alijibu mdada wa mapokezi
"Kaeni hapo hapo"

"Baba etu anaendeleaje?"
Aliuliza tunu huku machozi yakimshuka
"Ameumia sana?"

"Dokta atawaj.."
Kabla hawajamaliza alitoka akiwa anatoka jasho la kutosha
"Dokta bryton huyo"

"Aaakh wagen wangu?"
Dokta aliuliza
"Karibuni"

"Baba anaendeleaje?"
Tunu aliuliza
"Tunataka kumuona?"

"Aaaaakh nyie ndoo?"
Aliuliza dokta

"Mimi ni mke wakr na hawa ni mabinti zake"
Alijibu mama tunu
"Mme wangu vipi?"
 
"Naomba mtulie kwanza kuna......"
Alijibu dokta ila hakumlaiza tynu alimkunja koti lake

"Baba angu anaendeleaje? Baba angu yupo wap?"
Aliuliza tynu
"Dokta kama amekufa tuambie tu sisi tulishalipokea"

"Acha uchuro"
Alidakia tunda
"Unasema kufa tu"

"Mwanangu hebu tuambie"
Alidakia mama tunu
"Anaendeleajr? Tushajiandaa kulipokea"

"Mama kusema kweli baba etu ametangulia mbrle za....."
Dokta hakumalizia tunu alipiga yowe kubwa

"Babaaaaaa babaaaaaa"
Aliita tunu
"Baba we mbaya baba we mbaya kumbe asubh ulikuwa unatuaga?"

"Baba baba baba baba amka baba amka baba"
Aliita tunda huku akipiga magoti
"Baba umeondokaje? Umeendaje mapema baba?"

Mama tunu alibaki ameganda kimya, hakutoa neno ni kama alipigwa na bumbuwazi, hakusema ndio au hapana alikaa tu kimya anamtazama yule dokta.

"Mama ni mapenzi ya Mungu mama wakat wake ulifika"
Dojta alianza kumwambia mama tunu
"Mumeo haayupo tena"

"Mwache mmaa etu"
Tunda alimzuia dokta
"Unataakaa kumuua? Unatak kumaaliza mama etu tuwe yatima?"

"Mwache dokta anajua anachokifanya"
Alidakia mdada wa mapokezi
"Mwache"

"Hapana, mwache mama etu"
Tunda alijibu huku analia

"Mama baba ametuacha mama, mama baba ametuacha peke atu mama"
Tunu alizid kulia lakin mama yao alibaki kimya anamtazama dokta kama vile hajasema kitu hakutoa hata chozi moja alikuwa kimya kabisa

"Naumia"
Tunu alijibu huku analia
"Nilijua nyumba ni yao lkain sio kutufukuza ghafla hvo, wanatufukuzaje ghafla?"

"Kumbe na wewe ulikuwa unajua tunafukuzwa? Mkaacha kuniambia? Si mngeniambia mapema?"
Aliuliza tunda
"Nyie wabaya nyie wabaya nyie"

"Ungefanyaje tunda wangu?"
Mamaa t alimuuliza tunda
"Hata tungekuambia usingefanya kitu"

"Nyie wasiri, mnasema tuungane kumbe mnafanya.pekenu pekeenu?"
Aliuliza tunda
"Sawa, sawa nitengeni tu mimi sifai kuambiwa? Endeleeni kunitenga"

"Tusamehe tunda wangu"
Alijibu mama T
"Bado mdogo sana kubeba matatizo ya familia"

Siku ilikuwa mbaya sana baada ya kupewa taarifa ya kuondolewa mle ndani maisha yalibadilika mno.
"Kwahyo? Tunafanyajr?"
Aliuliza mama T
"Wanangu?"

"Mimi sijui"
Alijibu tunda
"Amueni tu mimi ntawafata mnachotaka"

"Mwanangu tunu nadhani tunge...."
Mmaa T alianza ila tunda alimkatisha

"Unaona? Unajadili na tunu tu? Unajadili na tunu mimi unaniacha?"
Aliuliza tunda
"Unamwita tunu peke ake mwanao"

"Sawaa haya wanangu, wanangu tunu na tunda"
Mmaa T alijibu kwa hasira
"Mtoto una kisirani sana wewe, sijui kisirani unakitoa wap et niwait wanangu? Wakat hutaki hebu unanipasua kichwa tunda"

"Mama hii fedha tutafute nyumba ya kupanga ya bei rahisi"
Alijibu tunu
"Tununue godoro tu na vyombo"

"Inamaana had vyombo ni vya shirika?"
Alishtuka tunda
"Magodoro? Kitanda? Maama? Hvi mmaa seriously? Hatuna asset yoyote?"

"Mwanangu"
Mama t aliita kwa huzuni

"Sio mwanangu mama, serious? Hakuna hata chetu? Mama yan yan pesa zote alizokuwa nazo baba? Kila kitu cha baba najua magar ya baba kumbe na vijiko na nini?"
Tunda alizid kulia
"Tumekuwa masikin sisi? Pesa tunaaenda kula raha dubai huko eeeh? Hamna akiba?"

"Acha kumlaumu mmaa ishatokea"
Alijibu tunu
"Kama ulikuwa unakili si ungeuliza kama baba amejenga au laa?"

" Hii pesa katafute chumba tunu viwili vinatisha kwa kuanzia nunua na godoro achana na tunda ja lawama zake za kijinga"
Alijibu mama T
"Kaatafute dalali tupate vyumba viwili tu bei isizid elfu 80"

"80? 80 utapata masta? Mama yan 80 seriously? 80 pesa ya bando la mwezi ndo kodi? Mama hapana naomba utafute nyumba yenye hadhi"
Alijibu tunda
"Tafuta nyumba yenye hadhi mama"

"Hadhi gan? Hadhi ipi? Tafuta wewe sisi tutakaa hapo hapo"
Alijibu tunu
"Tutakaa pa 80 hapo hapo"

"Fine"
Tunda alifoka kwa hasira
"Fine mtakavo mnilipie na ada ya chuo"

"Hodii...."
Mlango uligongwa
"Hodii"

"Haya tena haya tena"
Tunda alianza kuongea
"Wamekuja kututoa sasa"

"Hodiii"
Mlango ulizid kugongwa

"Karibu"
Mama T alienda kufungua
"Karibu sana"

"Shikamoo mama"
Saut ya kiume ilisikika masikio ya kina T yaliinuka na kujitega

"Karibu mwanangu kelvin marhaba"
Mama T aliwakaribisha
"Mama kev karibu ndani karibun sana"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom