ukitaka nikununie mpk makabur ya kwenu usinitafute baada ya hiyo PM !Hahaha hebu kuja PM chap.chap sana undugu hauwezi kuisha hivi hivi ila mm napiga kimya sema ntajua nimbembelezejr Rapunzel....si unajua mambo ya uwakili
Nyani Ngabu au Natalia hawawezi kutusaidia?
AF mbn hawaendelei,hv wanajua nimeacha kujibu emails ngapi mpk sa hiz !
Nyani Ngabu au Natalia hawawezi kutusaidia?
AF mbn hawaendelei,hv wanajua nimeacha kujibu emails ngapi mpk sa hiz !
Ndo ujiulize baby ake..inshu nzito hii
Mwenzangu hilo la msingi
jf:where amazing happens..
Join Date : 30th May 2014
Usiseeeme hiiivyo!
Hata PM sipati ujuee!
Ngoja nianze kujiseksisha!
hivi imekuwaje huu uzi uwe stiky? Ujue cjapata jibu
Hommie hebu niambie kwa kifupi sana. hapa wanadiskashen makitu gani kwa ujumla?
Mie kwani nataka 10 mil kaka? hata mil 8 tu zinatosha, ntakupa punguzo jameni.
Afu ujue mie bado mpya mpya eeh