Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Umeonaeeehhh??? Nahisi watu washaanza kumPM kutaka share ya zawadi LOL
Why hii ni sticky?
Invisible Paw Moderator naomba either muunganishe id za Lamborghini na yake ya zamani or mnipm hiyo id.
@maxcene melo kwa utekelezaji zaidi.
hahahahhaha mi hata siendi pm hapa hapa Kongosho ataipiga pasu afu mi msukuma mwenzie akinikana nampaka mwanza nzima lol
Hahaaaaaa!!!
Unanipa raha Leo!!
Umbea kipaji,na si kila mtu alipewa
So unataka unambie humwamini braza Lambo??
Siredi hadi imeibua mambo ambayo baba wa Taifa alipiga marufuku? Ukabila?
Lazima huyu dada amsamehe mwenzie, haya mambo ni makubwa sana.
Wee, namwamini fika, huoni hata jina eksipemsivu?
Yamekuwa hayo bibie???? ujue mwenzako kaiangaikia hiyo zawadi LOL,, toka page ya kwanza
Unataka akupe secret recipe yake ya mapenzi? Ni bora kuuza ramani ya vita kuu ya tatu ya dunia kuliko recipe ya chezo.
Invisible Paw Moderator naomba either muunganishe id za Lamborghini na yake ya zamani or mnipm hiyo id.
@maxcene melo kwa utekelezaji zaidi.
Ila una swaga za moreen baby