Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Sasa nitaacha kukutetea, hela haihusiani na mapenzi, navyopenda hela ningewahi Industial and Commercial Bank of China

Tatizo mwanamke akijua kutafuta hela anakuwa na kiburi sijuhi ? but anyway nimemuhuliza swali anijibu nivunje huu mjadala
 
We fanya bas nlivokwambia niendelee!
Kwani kumfumania bar na rum ni issue?
Lamborghini mi hata nikikikufumania kiunoni poa tu!.
Ahahahahahahahahaha watu mnafurahisha nyiiiie!

Mi nakuachia huyo hapoo
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Nyie ndugu, au ID zetu marafiki? Na mie ni rafiki yako kwa ile ID ya zamani? Ujue nina charity work mtongani, nasomesha watoto wa mazingira magumu, bajeti yangu ni 3m tu mkuu.😛eep:

hahahahahahhaa uwiiiiiii leo acha tu wanione chizi
 
Weee, amelipia sever ya jf, hadi kieleweke

Ila najiuliza mleta mada ana maslahi gani mpk sredi yake inawekwa sticky!
Ahahahahahahahaha Konnie hii kesi inazidi kuwa kubwa ujuee!
 
Ila najiuliza mleta mada ana maslahi gani mpk sredi yake inawekwa sticky!
Ahahahahahahahaha Konnie hii kesi inazidi kuwa kubwa ujuee!

Kwa mpka sasa hamjamjua ni nani? Kweli unataka utafuniwe
Hahahhah try again
 
I know it hurts. ..but nimeyavumilia mengi ya huyu jamaa na yeye kaongopa sikumfuma na hao wanawake bar ilikuwa kwenye room yake mi sio chizi nianze kurusha makonde bar

mmmhhh pagumu hapa!
 
Weee, mie mwalimu wa kemia alinidediketia, Mungu Ibariki Afrika parade, nililia wiki 2 mfululizo.

Awwwwwww ,sooooo sweeet!
Hii wakati niko sekendari ni kama hedi boyi kuimba wimbo af mwanzo aanze na neno this is for u snowhite!
 
Ufanye basi na handle over?

Mwaya, msamehe bana, wasichana mkipenda mnaringa sana mjue? Yaani mtaani imejaa mibazazi, hata ukifa haichangii sanda, walau huyu skul fees atachangia.

Mi nakuachia huyo hapoo
 
I know it hurts. ..but nimeyavumilia mengi ya huyu jamaa na yeye kaongopa sikumfuma na hao wanawake bar ilikuwa kwenye room yake mi sio chizi nianze kurusha makonde bar

lakini Rapunzel my dia ujue hamna binadamu mkamilifu,afu ndo vile tena wenzetu hawa kwa ujumla ni kama baba na mama yao mmoja(siwatetei) ndio mana wao wanakojoa wamesimama siye mchuchumao(siwatukani) ndivyo walivyo,MPE NAFASI YA MWISHO.... kosa la kwanza haliachi mke wala mume.MSAMEHE BIBIE.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…