Nisamehe Rais wangu Magufuli

Nisamehe Rais wangu Magufuli

Wewe mburura nenda kwanza kajiandikishe MEMKWA ili ukiandika tukuelewe. "Kupiga kula" ndiyo nini?

Mtu wa Darasa la 7 B, ukija JF utajidhalilisha tu, bakia Facebook tu kwa wajinga wenzio
Kwamba wewe una akili sana kuwazidi watu wote wanautumia Facebook? Wewe ni mwehu kuliko huyo
 
Angekutia ukilema wewe hapo au kufilisiwa kwa hila, usingesema haya
Hivi,mfano. Ukiwa na mali,usizoweza kueleza upatikanaji wake,unadhani utaeleweka vipi? Je,unapokuwa katika nafasi inayokuruhusu kuhujumu,usiguswe? Je,mwenye kufilisiwa kwa hila, unakula na kumwaga,wenzako hawana hata maji tu! We mtu gani?
 
Hivi,mfano. Ukiwa na mari,usizoweza kueleza upatikanaji wake,unadhani utaeleweka vipi? Je,unapokuwa katika nafasi inayokuruhusu kuhujumu,usiguswe? Je,mwenye kufilisiwa kwa hila, unakula nankumwaga,wenzako hawana hata maji tu! We mtu gani?
Rudi ujifunze kuandika mali badala ya mari, utajusaidia kujua maana ya hila
 
Nini kukumbukwa?. Kwani Iddi Amini na Mobutu hawakumbukwi? Au Adolph Hitler na Benito Mussolini hawakumbukwi?

Suala unakumbukwa kwa kitu gani. Mimi nitamkumbuka Magufuli kwa kujenga Airport kijijini kwake na sasa imebaki useless kama Gbadolite ya Mobutu. Nitamkumbuka pia kwa kutuma kikosi cha Makonda kwenda kumshambulia Tundu Lissu.

Na nyie wajinga mna yenu ya kumkumbuka
Vizuri kabisa kila mtu ana sababu zake kumkumbuka hivyo sioni haja wewe kuchukizwa na kutokwa mapovu kwa wengine wenye sababu tofauti na zako za kumkumbuka Magufuli.
 
Vizuri kabisa kila mtu ana sababu zake kumkumbuka hivyo sioni haja wewe kuchukizwa na kutokwa mapovu kwa wengine wenye sababu tofauti na zako za kumkumbuka Magufuli.
Nenda mpaka kaburini kwake Chato, usitupotezee muda kuna mambo ya muhimu ya kufanya
 
Ujenzi wa SGR Dodoma - Makutupora wasitishwa
KMfufueni aje ajenge. Serikali ni endelevu hata SSH asipomaliza wanaokuja watamaliza
Hatutakubali kuongozwa na WAOVU Kama JPM Kisa anajenga barabara.
Hatuli barabara sisi
 
Utafiti wa gazeti la mwananchi uligundua kuwa magufuli Hadi Sasa anakubalika na watu wenye akili timamu tz(99%)na ambao hawamkubali ni wenye ukichaa tu ambao ni 1%.
 
Any chama gani unaongelea maana mie niko chamaless
SAWA. Kama huna chama, lakini una mtu, anayefanana fanana na huyo unayemlilia sasa, komaa na huyo mtu ajitokeze na uungane na wengine kumtia moyo.
Haitoshikubaki mnalialia pembeni huku mkiona aliyosimamia kiongozi kipenzi wenu yakivurugwa.
 
Sasa wewe kwahio unataka tuandamane au
SAWA. Kama huna chama, lakini una mtu, anayefanana fanana na huyo unayemlilia sasa, komaa na huyo mtu ajitokeze na uungane na wengine kumtia moyo.
Haitoshikubaki mnalialia pembeni huku mkiona aliyosimamia kiongozi kipenzi wenu yakivurugwa.
 
Sasa wewe kwahio unataka tuandamane au
Hapana, hiyo ni hatua ya baadae sana mkishajipanga vizuri kusimamia hoja zenu mnazozisimamia, ambazo ndizo kiongozi wenu pia alizisimamia.

Kila jambo ni lazima liende kwa mpangilio maalum, kama mtoto asivyoweza kunyanyuka tu mara moja na kutembea.
Umenielewa?
 
Kama hukuweza kumuelewa JPM wakati wa uongoz wake bac jua 100% huna akili.
 
Back
Top Bottom