Rais Samia anayo mapungufu mamkubwa sana ktk uongozi wake. Usimamizi wa rasilimali, nidhamu ya watumishi, ufisadi, etc ni maeneo ni baadhi ya maeneo serikali imeonesha udhaifu mkubwa. Hata hivyo mh. Samia anavumulika kuliko shetani.Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.
Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.
Angekutia ukilema wewe hapo au kufilisiwa kwa hila, usingesema haya
Umechelewa sana kujua,CHADEMA na uongo wao walikupoteza,hongera sana kushtukia majizi yaliyojificha nyuma ya kivuli cha Demokrasia. Karibu CCMMimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.
Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.
Yupo wapi huyo Magufuli sasa.Sasa kama ulikuwa hufuata sheria hata ningekuwa ndo mi Magufuli ninge kuuwa kabisa kufilisi tu na kutokutia kilema
Tena mbona shetani anavumilika kama mimi ndio ningekuwa Magu ningekuwa za ya kim jongo mauaji ya kushanta ya wala rushwa aiseeRais Samia anayo mapungufu mamkubwa sana ktk uongozi wake. Usimamizi wa rasilimali, nidhamu ya watumishi, ufisadi, etc ni maeneo ni baadhi ya maeneo serikali imeonesha udhaifu mkubwa. Hata hivyo mh. Samia anavumulika kuliko shetani.
Kwa niaba ya Sukuma Gang tumekusamehe!Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.
Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.
Ndio, wengine wakafie mbeleMarais bora wa nchi hii ni
J. K. Nyerere na
J. P. Magufuli
Wengine, hapana.
Yupo Mwingine atakuja soon tena kama una mambo ya ajabu ataanza na wewe kisha wengine sawaYupo wapi huyo Magufuli sasa.
Hasira za nini mkuu? Hatujakataa nyie kuwa na mama ila pia hakuna haja ya kutokwa mapovu kwa ambao wanamkumbuka Magufuli. Sasa hayo maneno ya sijui shetani mara mkamfufue inaonyesha mna hasira sana.Kalifufue shetani lenu,sisi tupo na mama
View attachment 3000153Huyu pimbi wakujianika kwenye miamba kama kenge? Na kula mahindi hadharani kama nyani? CCM walitukosea sana, Ila Mungu akafanya masahihisho 17/ 03/21. Nchi iko salama mikononi mwa Samia View attachment 3000154
Waache na mahasira yao usikute likuwa jizi likabanwa ndio maana lina hasira naeHasira za nini mkuu? Hatujakataa nyie kuwa na mama ila pia hakuna haja ya kutokwa mapovu kwa ambao wanamkumbuka Magufuli. Sasa hayo maneno ya sijui shetani mara mkamfufue inaonyesha mna hasira sana.
Hadi leo bado hujajua uamuzi ni upi? Huna macho hata picha hauoni? Hayo mnayoita maovu ya Magufuli tumeanza kuwasikia toka akiwa hai hadi leo ila kadri siku zinavyosogea watu wanazidi kumkumbuka Magufuli halafu wewe bado unazungumzia kufichua maovu? Wewe kweli hujielewi.Narudia KILA MKOJA ASHINDE MECHI ZAKE. Nyie misukule ya Magu endeleni kumsifia, na sisi TUSIOMPENDA tutaendelea KUFICHUA uchafu wake. Wasomaji ndiyo watakuwa waamuzi.
Ndio ipo hivyo.Waache na mahasira yao usikute likuwa jizi likabanwa ndio maana lina hasira nae
Sawa chawa wetu mahili tumekusikiaNarudia KILA MKOJA ASHINDE MECHI ZAKE. Nyie misukule ya Magu endeleni kumsifia, na sisi TUSIOMPENDA tutaendelea KUFICHUA uchafu wake. Wasomaji ndiyo watakuwa waamuzi.
Ni heri kuliko kujaza picha za mama bana sasa hivi tungepita juu ya daraja la Busisi pale kama Jembe angekuwepo aiseeMwamba amejaza picha zake kwa simu yangu.
TakatakaMimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote.
Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais Magufuli. Hakika tunakulilia kama ulivyosema tutakukumbuka kwa mema yako.
Nakubali👎👎🖕🖕Takataka