Nisamehe Mpenzi

Nisamehe Mpenzi

Bora hata umebadilisha avatar.. Ile picha ilikua inanipa shida, nimeshinda sana 'gugo' kutafuta jinsi ya kutoa ile emoj... Kila nikitafuta njia ya kuisogeza ili nisafishe macho naambulia patupu....
Hahahahhahaha unataka kumuona babe??? Hahahhahahhaha s ungeniomba nikutumie tu picha yake pole jaman
 
Asante madame. Ila mapenzi ya dizaini hii ya kwenye hadithi yapo kweli? Mwanaume unabembeleza wee miaka na miaka
 
Back
Top Bottom