Nisamehe ewe Mwalimu

Hii thread inachekesha sana.

Pia sioni mwisho wake maana watu wanapenda sana matombo.
 
Yeye ndio alitakiwa akuombe ww msamaha na sio ww. Ww upo sawa sbb hakuwa na nia ya dhati, angekuwa serious angetoa mahari.
Najua unampenda sana, ndio maana umekuja humu kuomba msamaha. Unajuta kwa kitendo chako cha kumbania ticha papuchi.
Huu ni udhaifu wa hali ya juu. Yy alipaswa akuombe msamaha
 
Kuomba msamaha nikujutia kosa, nisambamba nakutamani hali ijirudie ili urekebishe ulipokosea... Utapata unachotaka
 
Bahati mbaya hajui nani anaitwa Binti wa Kirombo, na mwaka huo alitongoza mademu wengi sana wa chuo, kwa hiyo hatakukumbuka..

asante ...ndio maana inaitwa jamii forum chochote utakachojisikia kuandika unaandika kucapture attention ya watu...
 
HAPA
KUNA HARUFU YA TANGAZO HAPA!
 
Daaah mkenya njoo papuchi uliyoihangaikia imeiva huku!!!!
 
huyu bint kamnyima tunda ticha, sasa inaonyesha tunda lake limeshaliwa na watu wa kila aina, sasa akifikiria hiv kwanin nilimnyima tunda Yule ticha nafsi inamsuta. . watu hawaokok kizembe zembe, inaonyesha umeliwa hadi unajistukia hiv ni mm manka wa mzee tarimo... jutia tu, hata kulia lia tu.
 
Nimeshindwa kukusoma! Ko msamaha wa nini? Papuchi so yako na kama umeiletea maringo huitaji kumuomba mtu msamaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…