Nisaidieni wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni wana jf

Discussion in 'JF Doctor' started by ADK, Jan 16, 2012.

 1. A

  ADK JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,153
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mwenzenu kila nikikojoa njia ya mkojo huwa inaniuma sana je?nitumie dawa gani?
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kapime kwanza ujue unaumwa nini alafu ndio utafute dawa ya huo ugonjwa.
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  linaweza lisiwe tatizo la kiganga, jaribu kuongeza kasi ya unywaji wa maji, halafu uangalie matokeo yake.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Go see a doctor. . . kuna matatizo kadhaa yanayoweza kusababisha hiyo hali, na usipende kumeza meza dawa hovyo bila kujua chimbuko la tatizo ulilo nalo.
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  yeah!
  Mwili ukizoea sana madawa nayo si nzuri sana...
   
 6. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kamwone Dr ila pia jaribu kunywa maji mengi,
   
 7. F

  Fblukuwi Senior Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kamwone dokta ila kama hapatikani pima kipimo kinaitwa urinalysis kwenye maabara
   
Loading...