Nisaidieni wakuu

Nisaidieni wakuu

Sasa hapo tukushauri nini bibie! Kila kitu kipo wazi, sema na nafsi yako! Ikiwa unaweza tabu kaa, ikiwa unaamini anaweza kubadilika mpe muda, ikiwa unaona miyeyusho endelea na maisha mengine km yeye sio wa kwanza hawez kuwa wa mwisho! Uraiani wapo raia kibao wanaoweza kukupa penzi stahiki!

Kusoma uzi wako ikanibidi nichungulie umejiunga lini na una umri gani!! Dada yangu una miaka 29 lakini naona ulichokiandika hapa alipaswa aandike wa miaka 20 hivi. Samahani km nitakuwa nimekukwaza!

Changanya zako na ya kuelezwa ukweli uwe mchungu kumeza, na uwe mtamu kutema.

Sitaki kuamini akili yako haijakupa jibu sahihi, ila wewe unataka kuuendekeza moyo wako!

Ngoja nimalizie chai yangu na kitumbua hapa kwa mama atupele( kula ujaze tumbo restaurant )
Hongera kushauri sijui kama utafuatwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimuacha wengine wanachukua,kama pesa ipo;pigania uhusiano wako,kama unajiamini nenda kaishi naye,warembo ni wengi sana kuliko idadi ya wanaume.
 
Una safari ndefu sana either uivumilie au uishie njiani........All the best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom