KITAULO
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,926
- 2,842
Yani mtu anarudia trna na tena unavumilia kisingizio moyo?!
Kuendekeza ujinga ndo kitu watu wengine hatujaumbiwa
Sikumbuki mara ya mwisho nmemlilia mwanaume ni lini.....
Maamuzi ni yako maana tunaweza kushauri achana nae kumbe ukibembelezwa mahaba yanarudi utatuona sisi tulikua tunakupigia kelele
Same haujuwi lini umewahi kuingia kwenye serious relationship...kama haujui kuvumilia na kumbadilisha mtu kalagha bao...utaendelea kudanga mpaka mwisho wa safari yako hapa duniani