Nisaidieni Video editors, nataka kutengeneza effect kwenye mapigano

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Nataka kutengeneza effect ya haraka kwenye mapigano kama ya 300 spartan first battle ambapo niliona jamaa anaruka taratibu alafu anashuka kwa kasi. Kama una tutorial mwaga hapa au toa link lakini hata kwa Maelezo tu inatosha. Nafikiri ni adobe premiere au sio?
 
mkuu premiere au video editor kazi yake sio kutengeneza effects kama hizo, zile ni video editor umeshatengeneza effects zako sasa unakata, unaeka sauti, badili rangi hapa na pale ndio unatumia premiere.

kutengeneza hizo cgi, utahitaji after effects, blender, maya na software nyengine za animation. na hizo movie zinacost mabilioni, hicho unachokitaka pengine thamani yake ni milioni kadhaa sio kitu rahisi kabisa.

labda kwa kuanza utumie microsoft powerpoint na morph (ya kulipia), unaweza tengeneza effects kwa urahisi zaidi.
 
Mkuu labda nikupe msaada tafuta Wondershare filmora itakusaidia ukitaka na activation key zake na maelezo zaidi text @0744948834
 
.nataka kutengeneza effect ya haraka kwenye mapigano kama ya 300spartan first battle ambapo niliona jamaa anaruka taratibu alafu anashuka kwa kasi kama una tutorial mwaga hapa au toa link lakini hata kwa Maelezo tu inatosha. Nafikiri ni adobe premiere au sio
Adobe Premiere ni kwa ajili ya editing, cut, connect clips and so on.
Kama unataka effect hiyo Tafuta Adobe After Effect cc, kwa effect unayohiitaji.
 
.nataka kutengeneza effect ya haraka kwenye mapigano kama ya 300spartan first battle ambapo niliona jamaa anaruka taratibu alafu anashuka kwa kasi kama una tutorial mwaga hapa au toa link lakini hata kwa Maelezo tu inatosha. Nafikiri ni adobe premiere au sio
Yacopy haya maneno chini kisha ya paste kweny search engine ya google. Itakusaidia
WONDERSHARE FILMORA v8.2.2 FREE DOWNLOAD - Swahili Tech
 
mkuu premiere au video editor kazi yake sio kutengeneza effects kama hizo, zile ni video editor umeshatengeneza effects zako sasa unakata, unaeka sauti, badili rangi hapa na pale ndio unatumia premiere.

kutengeneza hizo cgi, utahitaji after effects, blender, maya na software nyengine za animation. na hizo movie zinacost mabilioni, hicho unachokitaka pengine thamani yake ni milioni kadhaa sio kitu rahisi kabisa.

labda kwa kuanza utumie microsoft powerpoint na morph (ya kulipia), unaweza tengeneza effects kwa urahisi zaidi.
nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom