Habari wanajamvi
Mimi ni mwanamke nina miaka 2, ni mpole, mkimya sio muongeaji sana.
Toka nikiwa o-level kila mtu ninayeishi naye lazima tununiane bila sababu ya msingi, nimeshawahi wauliza baadhi ya niliowahi kuishi nao kwa nini inatokea hivyo, wakadai mimi ndio chanzo cha kununa na wakati mimi najiona sina tatizo wao ndio wenye matatizo.
Nimekuwa nikijitahidi sana hii hali isitokee lakini bado inajirudia nifanyaje?
Maana huwa inanikosesha amani naweza maliza hata mwezi bila kuongea na mtu ninayeishi naye akijua mi ndo nimenuna na mimi kwenye mawazo yangu najua yeye ndo kaninunia.
Sasa hivi naishi na mke mwenzangu hatuongei hii wiki ya pili sasa kila mtu anafanya mambo kivyake.
Naombeni ushauri wenu tafadhali.