Luv jaman mbavu zangu.Kwa hiyo tukushauri kuhusu nini? Hao majambazi au uchumi?
Luv jaman mbavu zangu.
Eti halafu ukawa wa kwanza kumjibu
hahahahaha
Hizo huwa ni dalili za mwisho kabisa za kufa. Tubu dhambi zako na kumwomba Mungu apost pone.
"Kimaisha (uchumi) sijafeli sana, niko vizuri." Mwisho wa kunukuu.
Mkuu subiri watakuja wengi sana na itakua jukumu lako kuchagua ambae atakupa furaha,tafadhali utupe na mrejesho.
Mimi ni mwanaume,
Nimefikiria sana mambo mengi, nimepitia uzoefu mgumu sana maishani, kijamii na kimahusiano.
Kimaisha (uchumi) sijafeli sana, niko vizuri. Ila kwa changamoto nilizopitia, nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu maisha.
Nimejikuta nachukia wanawake kuliko maelezo, nikimwona mwanamke naona kama jambazi anapita pembeni yangu.
Nimejawa na roho ya ukatili na kisasi. Kitu kinachoitwa mapenzi kwangu ni kama hadithi (myth).
Nilipogundua hali yangu nikaamua kuwa busy na shughuli za kiuchumi, lakini naona hakuna nafuu. Siwezi kueleza yote hapa nishaurini nifanyeje nirudishe ubinadamu wangu na furaha yangu. Naumia sana
Unawachukia wanawake? anza kuwapenda wanaume
kiruuuuutafuta mwanaume mwenzio ule maisha
"Kimaisha (uchumi) sijafeli sana, niko vizuri." Mwisho wa kunukuu.
Mkuu subiri watakuja wengi sana na itakua jukumu lako kuchagua ambae atakupa furaha,tafadhali utupe na mrejesho.