Nisaidieni nampenda sana

Nisaidieni nampenda sana

Hivi akikuambia anakupenda, na moyoni unajua ni kwa sababu umemlisha madawa hajielewi mbele ni wapi na nyuma ni wapi! Still bado utafurahia na unajua una remote? Haina tofauti na kumsemelea mume kwa wazazi, na anaendelea kuishi na wewe kwa sababu tu anahofia laana ya wazazi.

talk of artificial sweeteners!
 
mpenzi wangu kanitaamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake miez 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu

nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jaman nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo. NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.

Beba kilicho chako ulale mbele
 
Kama una kazi yako achana nae. Hao waganga wa kienyeji ndio unaenda kubeba mapepo.Pia mapenzi hayalazimishwi bi dada akupendaye yupo njiani.
 
sasa utategemea mapenzi ya dawa hadi lini? hao waganga ndo wanaweza kukupa dawa. Tafta zikamvuruga mpenzi wako kabisa ukabomoa baada ya kujenga. Tafta watu wenye busara zao unaoweza kuwaamini wazungumze na huyo kijana atarudisha moyo Inshallah
 
mpenzi wangu kanitaamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake miez 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu

nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jaman nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo. NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.
Bibie.@maimatha Kama wewe ni mkristo soma Zaburi 45 kila siku asubuhi anapoondoka mpenzi wako soma hiyo Zaburi 45. kama ni Muislam nitafute kwa wakati wako bonyeza hapa.Mawasiliano

Mkuu hujambo lakini Mnyamwezi wa Urambo
 
dada pole mganga sikitu kwenye mapenz

me niliachwa na m2 ambae sikutarajia nikiwa na mimba ya miez3 Mungu alinsaidia had leo mwanangu hamjui baba nami sina muda wa kuhangaika nae nammudu mwanangu kwa raha zangu.
 
Pole mamy......
 
mpenzi wangu kanitaamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake miez 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu

nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jaman nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze
kutatua matatizo. NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.

Mganga jamani..! now i believe thus why they said we have low IQ.,mganga anatibu VP someone feeling.,
 
dada pole mganga sikitu kwenye mapenz

me niliachwa na m2 ambae sikutarajia nikiwa na mimba ya miez3 Mungu alinsaidia had leo mwanangu hamjui baba nami sina muda wa kuhangaika nae nammudu mwanangu kwa raha zangu.

nadhani akipata wa kumpa moyo watatu kama wewe atajiona anaweza pia
 
Mungu ndiye pekee hujua mwanzo wetu,maisha yetu na pia mafanikio yetu,nakusihi umwombe mungu amwondoe ktk hiyo hali
 
Kama kweli unampenda, ungethamini furaha yake ya yeye kukuacha badala ya wewe kumganda.
Mwache aende kwa raha zake.
 
mpenzi wangu kanitaamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake miez 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu

nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jaman nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo. NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.

Je, hiyo mimba nayo ameikataa? kama ameikataa nipe mimi!
 
mmhhh hivi watu.wakitatizwa na wapenzi wako kimbilio ni kwenda kwa mganga?? na je vip matatizo yao hutatuliwa? naomba niwekeni sawa ktk hili
 
Mganga atakula pesa yako na hata kusaidia...ni bora umrudie Mungu... Dua haimtupi mtu hususan ukiiomba kwa nia ya dhati na kitu chenyewe kikawa halali.. M'mungu atakupatia majibu tu. Achana na mawazo ya waganga!!!!
 
Duh umefika mbali mpaka unafikiria waganga aisee Hayo ni mahaba nipoteze.unaacha kujihurumia na mimba yako unawaza ukaroge Penzi duh ama kweli tupo tofauti me nikipigwa chini naliaaa nikitoka hapo bye bye nimeshakupotezea mazima.ukijua kupenda ujue kuna kuachwa unampa moyo wako ndugu yako huyo. tulia uzae kwanza.
 
usijaribu kamwe kushiriki ushirikina....mim nakushauri tulia subiri ujifungue mengine yatafuata

inawezekana jamaa alikuw na mchepuko ukamtenda huko nje so akaona yote ni yale yale

show love kwake tu mamy...pray to God
 
Na hili liwe funzo kwa dada zangu na wengine wenye tabia kama yako!
 
naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo.

kama hizo ni akili zako timamu kabisa bila ya pombe wala dawa za usingizi bora tu umeachwa...
inawezekana hata hadi kukupa hiyo mimba ulimfanyia dawa, ndo hivo expiring date ya dawa ishafika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom