excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
dada mai, pole kwa matatizo,
labda mimba yako haijampenda ndo maana hakupendi.. hebu tulizana kwanza ujifungue...
waganga watatishia kukupoteza tu maimatha, hawa ni ma-agent wa shetani tu, nothing good from them can be obtained...
Just follow Jesus my dear.
Jiandae kwanza kulea baraka iliyoko tumboni mwako, ukimwendekeza huyo kwa kipindi hiki, hiyo mimba inaweza kutoka na ukapoteza maisha vile vile...
kaza moyo...

Last edited by a moderator: