Nisaidieni nampenda sana

Nisaidieni nampenda sana

Pole sana bi-dada, MUNGU akutie nguvu hasa katika kipindi hiki. Unamuhitaji sana. Mganga hawezi kutatua matatizo yako.

Tunatakiwa tujifunze kutokana na makosa ya wenzetu badala ya kusubiri mpaka majanga yatufike. Sijui ni kwa kiwango gani wasichana huwa mnafanikiwa kupendwa/kuolewa kwa kigezo cha mimba. Kwa sababu kuzuia mimba iko ndani ya uwezo wetu sasa sijui inakuwaje unakubali kubeba mimba ya mtu ambaye hana malengo yoyote na wewe.

Tucwe desperate na kuolewa mpaka inafika mahali thamani yako huijali tena. Tujitambue jamani.

Nakushauri jitunze ili ujifungue salama na maisha yaendelee with or without him.
 
pole mpendwa, wazo la kwenda kwa mganga si zuri hata kidogo, muombe Mungu akuvushe kwenye jaribu unalopitia,

lakini kama mara ya kwanza kabisa unampata ulienda kwa mganga unaweza kurudi labda dawa zmeisha nguvu.
 
Mpenzi wangu kanitamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake wa miezi 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu.

Nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jamani nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo.

NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.
Itakua umechepuka wewe,mwenzako kakushtukia.
 
Pole sana mrembo.... Jifunze kutokumpenda taratibu itakusaidia kuona upepo unavyokwenda.

Vumilia zaa mwanao umlee kwa mapenzi yoooote.

Nani amekuaminisha kuwa BILA huyo jamaa huwezi kuishi.... Wake up girl...
 
Mpenzi wangu kanitamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake wa miezi 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu.

Nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jamani nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo.

NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.

Aisee.... Hivi bado kuna watu wanakwenda kwa waganga ili kuboresha mahusiano yao... Huuu... Wonders will never end...

Pole sana mdogo wangu maimatha
 
usijisumbue na hivyo vitu coz sidhani kama vinasaidia 100% na hata kama vitakusaidia itakuwa ni kwa muda mfupi sana,na si ajabu akaja kukuchukia hata zaidi ya hapo,unachotakiwa kukifikiria sasa hivi ni mwanao aliye tumboni uweze kujifungua salama na kuangalia maisha yake ya hapo baadae
 
Nipigie Ustaadh Swaleh 0653-990025

Narudisha mpenzi, mvuto, kusafisha nyota, ngiri, nguvu za kiume, kushinda kesi, utajiri, na mengineyo mengi tu.

Piga tuongee.
tiba yako ilinisaidia sana, mwambie kabisa aje na ushuzi wa jogoo. usije ukamrudisha kama ulivonirudisha mimi.
 
Nipigie Ustaadh Swaleh 0653-990025

Narudisha mpenzi, mvuto, kusafisha nyota, ngiri, nguvu za kiume, kushinda kesi, utajiri, na mengineyo mengi tu.

Piga tuongee.

hahahaha nashindwa kuamini?

hiyo nyota inasafishwaje?
 
mathayo 11:28
njooni kwangu ninyi nyote wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha..asema BWANA...
unalotakiwa kulifanya ni kuchukua hatua ya kumwani yesu kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yako...atafuta machozi yako..
 
Maimatha pole kwa shida iliyokukuta ila njia uliyotumia si sahihi...

napia nakushauri ungesubiri kwanza hadi ujifungue kwani mwezi wa 7 nikipindi hatari sana kwa mjamzito. Ndio madhara ya ndoa za sogea tukae bila kuchunguzana ameshakuona hupendezi tena anataka kumsogeza mwingine wakae kama alivyokusogeza ww.
 
Vipi mdada umeishajifungua?Hebu tuambie hali sasa hivi ikoje?
 
Inaelekea huna elimu au kama umesoma ulikuwa mburura. Karne hii bado unawaza kwenda kwa waganga?
 
dada pole mganga sikitu kwenye mapenz

me niliachwa na m2 ambae sikutarajia nikiwa na mimba ya miez3 Mungu alinsaidia had leo mwanangu hamjui baba nami sina muda wa kuhangaika nae nammudu mwanangu kwa raha zangu.
pole....naomba tuzae tena LOL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom