Nisaidieni nampenda sana

Nisaidieni nampenda sana

maimatha

Senior Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
129
Reaction score
162
Mpenzi wangu kanitamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake wa miezi 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu.

Nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jamani nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo.

NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.
 
Pole sana, najua wapo watakao kushangaa ila ninaelewa unavyojisikia..hayo mambo mie ndo maana sitaki hata kuyasikia.
 
mpenzi wangu kanitaamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake miez 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu

nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jaman nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo. NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.

Nipigie Ustaadh Swaleh 0653-990025

Narudisha mpenzi, mvuto, kusafisha nyota, ngiri, nguvu za kiume, kushinda kesi, utajiri, na mengineyo mengi tu.

Piga tuongee.
 
Usimroge, kama unampenda kweli nipe mie.
 
Pole, ila siku nyingine usitoe toe
 
Chakhsun jaad Maimatha!

Kama meshindwa lala npigie tuongee.

Mbona mnamfanyia hivyo jaman..hamuoni ka yuko serious na it seems ni kitu kipya kwake, kweli hamna ushauri wa maana wa kumpa, jf tumefikia huku jamani?!!
 
Vuta subira ujifungue kwanza ndipo uanze kulifufua pendo lako, ila mi nna swali kwa wadada inakuaje mnabeba mimba kirahisi hivyo kwenye mahusiano ya muda mfupi? Ina maana hizo siku za kushika mimba hamzifahamu ninyi wadada au ndo vile mwafahamu lakini hamchukui hatua kama yule kiongozi wetu anayewajua wauza unga lakini hawachukuliwi hatua.
 
mpenzi wangu kanitaamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake miez 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu

nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jaman nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo. NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.
Arudishe moyo kwako yeye abaki na nini?
 
Nyuzi kama hizi inabidi kupita kimya kimya tu. Ila kuna watu wako deep na haya madikodiko ngoja waje. Nahofia kukuitia wasije kuwa wakali bure.
 
Duh haya makitu kumbe yapo........sasa mganga atafanya nini ambacho wewe umeshindwa, ila nahisi huyo jamaa wako anaogopa kuwa baba (majukumu).
Kwa wanawake ni rahisi kwenda na flow kutokana mmebeba hiyo mimba ila wanaume kidogo mtoto akizaliwa ndo akili inakaa sawa (Hali hii utokea kwa wanaume ambao hawajaoa bado),angalia afya yako na ujauzito haya mengine baadae.
 
mpenzi wangu kanitaamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake miez 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu

nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jaman nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo. NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.

Pole sana Bi.dada ila sie w/ume baadhi tumekuwa wanyama sana maana hii si poa kabisa.
Jitahidi kuvumilia hadi pale utakapo jifungua anaweza kurudisha Moyo nyuma akiona kiumbe chake.

Na nyie kina dada sijui huwa mna fikiria nini? usikubali kubeba MIMBA nje ya ndoa tena kwa m/ume hata asiejielewa.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Sisi watu weusi ama sijui niseme Watanzania, tunapenda kutumia neno 'nakupenda' ilhali hatujui maana halisi ya neno hili.....
Hakukupenda ila kama aliwahi kutumia hilo neno kwake, hakumaanisha au akujua hiyo maana ya hilo neno.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom