Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Sasa nifanyeje na tayari nimesha haribu kwahiyo sistahili kuishi au kusamehewa na kupewa nafasi ya kurekebisha makosa yangu?
Tubu waache wote Anza upya huwapendi wote waongozwa na nyege huwezi kupenda vitu viwili kiasi Cha usawa kila mtu ni unique iweje uwapende wote . Nyie wanaume kwa kujitaftia laana, ukute wadada wa watu wanakupikia, kukufuia wakifikiria ndoa
 
Hiv inakuaje mtu ana buy huu ujinga wa "nitakuoa"???
Mm sijawah aisee.
Hata mke wangu tu sikuwah kumuahid kama nitamuoa.
Mwanaume anayetongoxa gia ya ndoa ni tapeli aisee mana Hilo jambo huja automatic.
Pia tujifunze kutokuji commit kwa mtu yoyote maana unakuwa na Deni.

Do not commit to anyone by Robert Greene 48 laws of power.
 
Hafu wenzie nao wapo kumjaza mashudu tu.
Yaani wao hili hawaoni Kama ni kosa,wanaona sawa tu[emoji26]
Me nawaonea huruma hao wanawake, kama mwanaume anashindwa kufanya decision muhimu kama hii mwenyewe hadi aje atangaze huku basi kazi wanayo hao gfs zake.
 
Ningepata mwanaume design yako anayejielewa hivi loh. I wish wanaume wangekuwa na mtazamo chanya hivo matatizo na machungu ya wengi yasingekuwepo
 
Me nawaonea huruma hao wanawake, kama mwanaume anashindwa kufanya decision muhimu kama hii mwenyewe hadi aje atangaze huku basi kazi wanayo hao gfs zake.
Mwanaume hajakuwa matured atawatesa bure na wakijua watamubwaga
 
Unapotoa ushaur kuna namna mbili kuukataa au kuukubali huu ushaur ni mbovu kwako kwangu ndio nimeona uko vr
Ushauri mwingine una mislead watu ujue wengi tumeona scenario ya mleta mada kwa watu tofauti na Sasa kwao ni majuto, Bora kumuacha mtu kimya kuliko ugomvi maana akiingia kwenye ndoa ya udanganyifu amani itatoka wapi, maana na yeye ataanza kudaganywa, Bora mtu usijue uongo wake mpaka mbeleni ukiwa mumeshachokana. Kula leo na kesho pia reactions differ. Kwanini uumize mwingine Wana ume muwe mnafikiria mbele vizuri.
Mimi mwenyewe huwa siachani kwa kugombana na ukata kimya kimya
 
Mwanaume anayetongoxa gia ya ndoa ni tapeli aisee mana Hilo jambo huja automatic.
Pia tujifunze kutokuji commit kwa mtu yoyote maana unakuwa na Deni.

Do not commit to anyone by Robert Greene 48 laws of power.
Kabisaa.
Plz share hiyo link ya hicho kitabu boss
 
Me nawaonea huruma hao wanawake, kama mwanaume anashindwa kufanya decision muhimu kama hii mwenyewe hadi aje atangaze huku basi kazi wanayo hao gfs zake.
Hata mimi nimewaonea huruma sana
 
Mwanaume hajakuwa matured atawatesa bure na wakijua watamubwaga
Kwa hii situation, angesitisha tu swala la kuoa kwanza hadi pale atakapojitambua anahitaji nini kwenye ndoa.
 
Mkirogwa mnalalamika..acha watoto wa watu huwastahili..jinga weh
Na umsubiri binamu karma akufundishe adabu.
 
Very matured advance nitafanyia kazi hili mkuu Asante sana ila nahofia kesi maana hapo na deal na hisia za mtu aliyependa tena Yuko very serious, anaweza kujidhuru au kunidhuru Mimi au kunidhuru aliyechaguliwa
Dah... Nakuonea huruma sana mwanangu!

Sasa fanya hivi.,
Fanya juu chini wajuane kwamba wapo 2, alafu wakishaanza kuvurugana lazima mmoja wapo ataachia ngazi bila kumwambia.

Ila nawaonea huruma sana hao wadada, najaribu ku imagine atapokeaaje kitakachotokea
 
Mkirogwa mnalalamika..acha watoto wa watu huwastahili..jinga weh
Na umsubiri binamu karma akufundishe adabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…