Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Piga chini wote, anza upya, Kuanza upya si ujinga

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
hakuna mwanaume anaejielewa ambae anaoa kabla ya kuishi na mwanamke kwanza. na hao wanaooa kabla ya kuishi nae ndo wanaokujaga kulalamika humu kuhusu wake zao. wameuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Speak for yourself young boy. Unafikiri wanaume wote hawana akili? Huku kwetu tumeolewa ndo tukaanza kuishi na wanaume; bado wapo wanaume wenye ufahamu.
hakuna mwanaume anaejielewa ambae anaoa kabla ya kuishi na mwanamke kwanza. na hao wanaooa kabla ya kuishi nae ndo wanaokujaga kulalamika humu kuhusu wake zao. wameuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Hana adabu huyu. The young lady is better off without her
 
Sex is overated hamna jipya hata utoke Leo juma, kesho Ali, omary, Peter mwisho wa siku enjoyment huwa kwa yule mwenye connection and bond. Imagine mfano machangu. Kuna kufanya upizi na kufanya ile connection ya ndani

Sure, however there is that satanic aspect of enjoying varieties and you really sense it on an individual self glocalized pleasure.
 
Point!
 
Mvulana wa mika 30. Kuna watu wengine hupata bahati ya kuwa wanaume wangali na umri wa miaka 18 ila wewe umri umesogea ila ungali mvulana. Siku ukifaulu kutambua tofauti kati ya kupenda na kutamani basi utajua huenda hata kati ya hao mabinti unaowachezea na kuwapotezea muda hakuna aliye wako na wana deserve mema!
 
Oa mmoja na mwingine mfanye mchepuko wa kudumu hivi vitu vifanye kwa siri sana
 
Sijui kwann siamini mwanamke mpole asiye na makosa mpaka kushindwa kumpatia sababu ya kumwacha.

Una uhakika hao wanawake hawajui wapo wawili na hapo ulipo wanajua ushachanganyikiwa na wao wanachochea moto?

Ndoa zimekuwa adimu sana, wanakomaa wazipate, miaka miwili ni michache sana, ukishaoa ukadumu nae miaka angalau saba ndo utajua umeoa nini.

Haiwezekani ukapenda watu wawili. Kuna mmoja hapo ukichunguza humpendi ila kuna kitu tofauti anacho anakupa hutaki kukiacha.
 
Authority wewe ni baharia wa kike au wakiume mbona Kama zile kanuni za kibaharia umezinywa halafu umebobea. Hii noma sana kaaaah

Hi itakudhuru utaishia kuchagua corona nazi utawaachia wengine heri utumie probability ya tossing andika majina yao kwenye papers na utumie zaburi ya 51, 82, 103, petro was kwanza sura ya 5 mstari wa 6+, funga siku8, ukitumia zaburi 51 hakikisha ogea chumvi ya mawe ukinuiza toba yako na umtakae na Mwambie Mungu ikikupendeza Kama sio wangu waniache wao. Nakula pozi kwanza...niko kibiblia Zaidi muda huu
 
I pay these niggaz with a reality cheque - Weezy F. baby
 
Hebu nitumie picha zao wote pamoja na namba zao za simu nifanye uchunguzi vizuri kisha nikupe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…