Nisaidieni nakaribia kuumbuka

I'm humbled mkuu.
Shukrani sana na ninaomba Mungu akufanyie wepesi katika maamuzi yako maana najua upo katika state ngumu mno.
 
Nimemheshimu sana huyo mwanamke na hongera kwa baba yake kwa kumpa malezi mazuri; hata sasa ameweza kujiheshimu nakuwaheshimu wazazi wake. Kuna vitu vichache vinaweza kukupa picha ya familia aliyotoka mtu. Mzazi gani atayefurahia binti unajihamishia kwa mwanaume bila kufuata utaratibu; si ni matusi hayo kwa wazazi wako and a sign of desperation?. The girl knows her worth; it shall be well with her. Haya mambo mengine ni upuuzi tu ambao unalazimishwa uonekane kama ndo taratibu ya dunia hii,

Wanaume wafujaji utawajua tu; masharti kama waganga; mara hamia kwangu! Mara beba mimba, mara kaishi na mama yangu nione kama mtapatana. Yani utafikiri una maisha ya kufanyia audition afu yeye ni perfect man so no need of audition. Imagine hapo wadada wote wangebeba mimba ingekuwaje?

Multiple relationships=Multiple confusions
 
Chunguza zaidi wanawake sie pia huwa katk stage hyo huwa tunakua na altenative huwa hatuamini kama.kweli huyu atanioa so kama kuna mwingine analeta story za kunipenda simtolei nnje but nampa muda na story za hapa na pale huku nasikilizia u serious wa huyu. Kama unaweza kuchimbua chimbua unaweza pata sababu ya kuacha. Wengi watakataa ila ndo uhalisia huo tunashukuru tumeolewa sasa nakupa ushauri tuu mdogo wangu sio wanawake wote ni waaminifu. Unaweza kujuta bure kumbe na wao walikua wanakupiga matukio
 
Vigezo havifanani lakini kilammoja anasifa ya kuitwa mke mwema. Nimejaribu sana hata kutafuta vijisababu ili mmoja akate tamaa lakini kila mmoja anaonesha yupo serious na anachokifanya

Daaaah mkuuu uko kama mm nina wawili sielewiii naoa yupi naachaa yupiii ilaaa mm kuna mmoja naona familia yao sio kubwa kvle kwa hyo nimepgaa calculations za future nisije nikawa na unecessary extended family ya kusomesha watoto wa wakwe,
 
Af anajisifia kabisa et nimemuacha aolewe na baba yake! Mtu hana hata heshima kwa mzazi, ataweza kweli kumheshimu mke?
No wonder huyo dada alikataa sababu anajitambua na aliona hapa sio.

Muoaji wa kwel hana masharti ya hivyo wala longo longo, akiwa tayari kuoa anajua nini kinatakiwa kufanyika basi anafanya mambo. Half utakuta hapo mtu kakaa nae kwa mahusiano mda mrefu ila akitaka kuoa ndio sababu kibao kama hizo kisa unampima as if yeye yuko safi.
Shame on them wote wenye tabia kama hiyo
 
Daaaah mkuuu uko kama mm nina wawili sielewiii naoa yupi naachaa yupiii ilaaa mm kuna mmoja naona familia yao sio kubwa kvle kwa hyo nimepgaa calculations za future nisije nikawa na unecessary extended family ya kusomesha watoto wa wakwe,
Hapa ndio hua mnafeli, kwa hyo sababu yako umenchekesha sana mkuu😂
 
huwa inatokea,

chagua anayekujali na kukuheshimu zaidi ya mwingine, ndio awe mke. halafu punguza mawasiliano na huyo mwingine na hatimaye kata kabisa mawasiliano naye, ikiwezekana hama kama uko mtaa jirani naye
 
Baharia waombe 0713 tu atakayekubali mwambie kabisa kuwa nimekuacha kwa sababu hujithamini . Kwa upande wa pili wakikataa wote chagua mmoja unayemkubali zaidi umuoe Alf mwingine umwambie nmekuacha kwa sababu umeninyima 0713 . Tayari problem solved unakwama wapi.
 
😒
 

Attachments

  • FB_IMG_15913756465449265.jpg
    11.7 KB · Views: 14
Nimekuelewa sana ndugu unaonekana ni mchambuzi mzuri sana wa mambo lakini najua kweli nilikuwa mkosaji kwa miaka hiyo yote miwili, najutia sana makosa yangu je sistahili kusamehewa, mbinu nilizotumia mwanzo zinakaribia kufeli kwasababu sina uwezo wa kuwaoa wote wawili ndiomaana nahitaji ushauri. mwanzo sikuhitaji ushauri sababu niliweza kuwamudu wote na halikuwa tatizo kwangu lakini kwasasa yamenifika shingoni

kuhusu AKILI KIJIKO wewe mwenyewe unaweza ona kama nimeweza kuwa na mahusiano na wanawake wawili tena serious relation bila wao kujua kwa miaka miwili unafikiri hizo sio akili nyingi? sema tu hakuna mjanja wa muda wote, nimekwama tu kama mtu mwingine yeyote anavyoweza kukwama na kutafuta ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…