Hayo ni maoni yake haijawa Sheria au katiba ya jamhuri ya muungano Hadi ifatwe kwa lazimaIna maana mama Anna mghwira hujamsikia?
Labda mmoja kampenda kiunoni kwenda juu, na mwingine kiunoni kushuka chini
How does that concerns you??the fact that you said that its clear you too serious about it.
Mwandiko sio tabia, jichange uwe sample size uje utupe ushuhudaNingepata mwanaume design yako anayejielewa hivi loh. I wish wanaume wangekuwa na mtazamo chanya hivo matatizo na machungu ya wengi yasingekuwepo
Sample size ipi Mimi napenda watu wastaarabu na waelewa na sio kingono Kama unavofikiria weweMwandiko sio tabia, jichange uwe sample size uje utupe ushuhuda
Habari gani Watanzania wenzangu.
Naomba wadau mnisaidie ushauri wenu maana nipo njia panda. Mimi ni kijana umri miaka 30. Nina wanawake (mademu) wawili ambao nawapenda sana na kila mmoja ananipenda sana.
Kwakweli nimefanikiwa kuishi nao bila wao kujua kama ninawachanganya; nimedumu nao kwa miaka miwili sasa, na wote wananiamini sana na kila mmoja anaamini nitamuoa.
Sasa umefika wakati ambapo natakiwa nianze harakati za kuoa kama kumtambulisha mchumba kwa wazazi na kumchumbia. Napata wakati mgumu nimuache yupi na nimuoe yupi; wote ni wema sana kwangu na nakosa hata sababu ya ku-force ili nimuache mmoja
Wote ni wapole; nimesubiri mmoja anikosee nimuache lakini wapi, na ninapoelekea nakarbia kubambwa kwa ujinga niliowafanyia. Sasa nitumie kigezo gani kumuacha mmoja nibaki na mmoja nimuoe?
Naombeni msaada au nitumie kigezo gani ambao nitapata sababu ya kumuacha mmoja wao maana naona naaibika sio mda mrefuu.
anaweza kuwa aliwahi kuumiza ila kwa kuwa tunajifunza kutokana na makosa basi alipogundua alijifunza na hakutamani kurudia makosa.. au hajawahi kuumiza maana aligundua mapema kwamba si kitu sahihi...Huyu mwenyewe aliyeandika hapa anaweza kuwa chuma kuliko mleta mada, we unahisi hajawahi kuumiza watoto wa watu?
rudi darasani ukasome tena kingeli naona bado hujakwivaHow does that concerns you??
Kwani unaumia??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro, umeoa???
Kama bado 'yes I do'..! 😀
Anakuwa na hekima zote na utu wote halafu kuna sehemu tu lazima azingue. Yaani hakuna asiyezingua...Ukipata mwanaume wa hivi mwenye utu na hekima lazima umtii na kumheshimu, maana ni true definition ya real gentleman, man.
Nitakuja unifunze wewe uliyekwiva,rudi darasani ukasome tena kingeli naona bado hujakwiva
Ulifanya kwa makusudi.Kwakuwa eti nilikosea Basi sistahili kutendewa jema wala kupewa nafasi ya kurekebisha makosa yangu.
Msijisahau mapungufu yetu ndo yanayotufanya kuwa binadamu
Ndio anaweza kuwa na hekima Ila mkitokea mkaelewa ni rahisi kupunguza ugomvi usio na kichwa Wala miguu, na ni rahisi kuchukulia mapungufu yake tofauti na wengine madhaifu yanakuwa mengi Hadi kuvumilia huwezi, it's like wearing kiatu kinachokubana, sometimes when you have someone mnayeelewana na ku share interests inapunguza mengi kuliko mtu usiyeelewana nayeAnakuwa na hekima zote na utu wote halafu kuna sehemu tu lazima azingue. Yaani hakuna asiyezingua...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chagua mwenye tako kubwa zaidi ya mwenzie. Kigezo hiki ndio kimebaki
Kesi hii nilikutana nayo wakati wa ujana wangu miaka kadhaa iliyopita....baada ya kuona muda wa kuoa umefika na naishi kwangu mwenyewe lakini kwa machale sana yaani nikiwa na mmoja wao ndani halafui nikisikia geti linagongwa napata hofu na hii ni kila mara....Kumbuka hawa walikuwa wanajuana vizuri sana na ni maadui vibaya...sasa nilivyochoka nikawagonganisha nyumbani kwangu chumbani.......ilikuwa hivi ...mmoja nilikuwa naye viwanja tukarudi home kama saa tisa hivi kuingia chumbani tukamkuta mwenzie kalala kitandani ......nami nikakaa kitandani nikawa ninawaangalia ...yule aliyelala akastuka akaamka akakutana macho kwa macho na adui yake namba 1 chumbani....mbilinge lake lilikuwa si la kitoto...vurugu za kufa mtu na hasara juu nikapata...lakini mwisho mmoja akashindwa akabaki mmoja nikamuoa....baada ya miaka mingi yule aliyeshindwa na kuondoka tukarudiana kama mchepuko wangu ( aliniomba mwenyewe rasmi kabisa) ingawa ameshaolewa, ana hela na watoto kadhaa....maisha yanaendeleaHabari gani Watanzania wenzangu.