Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Hivii Bw. Kharusi ana taarifa lakini..? tusije toleshwa machozi siku ya kharusi tukharibu make-up zetu.! πŸ˜‚
Hayo usiwaze, yatajulikana tu mbele ya safari. Muhimu tufanye part yetu
Nitaambia nini kamati ya roho mbaya nikiachwa kanisani na shela langu??
lakini isipofika altareni si unajua nina first aid kit na leso za kutosha. Ila a shoulder to lean on ndo sina yaani itabidi nkutumie package ufanye self service πŸ˜€
usijali tutakuwa kama wake wa Dr mwaka

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ nyie watu mnanivunja mbavu ati ilhali ndugu yetu AKILI KIJIKO yupo matatizoni
 
Waache wote tafuta mwingine, umeshakosa vigezo vya kuwa na yeyote kati yao, na yeyote utakae machagua chamoto utakiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…