kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 2,303
- 2,767
Acha kazi umrudie AZIZ K wako uone!!nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Kama wewe ni zwazwa acha kazi ukawe mke mwenza kwa mume mhuni.nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Hili nalo unahitaji ushauri?nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Bond ya mtoto inawaunganishaKwanini usimwondoe kwenye akili yako kabla hujalia na kusaga meno? Ungekua dadaangu ningekushauri huku nikikutia makwenzi.
Kwakua una roho nyepesi badilisha laini kabisa na uepuke kukutana nae... Umeelewa?
Baadae akimrudia huyo wa pili aliyezaa nae tena utasema hivihiviBond ya mtoto inawaunganisha
Nani anatakiwa kutoa masharti ya kurudiana kati yako na yeye? KAZI NI KIPIMO CHA UTU.Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi