Nisaidieni mawazo

Nisaidieni mawazo

nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Acha kazi umrudie AZIZ K wako uone!!
 
The fact kwamba umekuja kuomba ushauri hapa, inaonyesha bado unampenda, kwahiyo wewe tulia mwendelee na maisha
 
nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Kama wewe ni zwazwa acha kazi ukawe mke mwenza kwa mume mhuni.
Kwani wanaume wameisha?
 
Siachi kazi kwa ajili ya mume/mpnzi/mapenzi
Labda kuwe na mkataba, aweke walau 500M paleeeeee ndio niache kazi
 
nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Hili nalo unahitaji ushauri?
Acha ujinga pambania maisha yako.
 
Huyo mzazi mwenzio ni tomb@tomb@ Tu yaani kwa miaka minne akitomb@ huko kwa mwanamke mwingine mwaka huu anataka ale kei yako aloyoiacha mwenyewe miaka minne nyuma.

Ukirudiana naye ukipata kansa ya kizazi na magonjwa mengine ya zinaa au mikosi na kurogwa na huyo mwanamke wake wa sasa utamlaumu nani yeye au shetani au Mungu.??

Jifanye unajua kusamehe upigwe tukio upate over bleed hadi ukufe.
 
Aisee mdogowangu, wanaume huwa ni wabinafsi sana. Wakikuacha kama hivyo wanatamani uteseke tu ilaakikuona umefanikiwa atafanya kila njia akurudishe halafu akuache tena ukiwa umeharibikiwa. Mtu alikuacha akaenda kuoa mwingine we mnataka mrudiane ugundue nini? Mbaya zaid anataka mrudiane na uache kazi alikuwa wapi siku zote b4 upate kazi?

Wacha ujinga block hiyo kenge nenda kaanze maisha mapya.

Ukitaka kuwajua vizuri wanaume na vimbwanga vyao nenda insta search Iddmakengo. Kasome visa mbalimbali hope hutakosa kina hofanana na chako na utajifunza.

Hivi watu hamkusoma kwa shida na taabu hadi utake kuachakazi kisa mwanaume aliyekutelekeza?
 
Kwanini usimwondoe kwenye akili yako kabla hujalia na kusaga meno? Ungekua dadaangu ningekushauri huku nikikutia makwenzi.
Kwakua una roho nyepesi badilisha laini kabisa na uepuke kukutana nae... Umeelewa?
Bond ya mtoto inawaunganisha
 
Back
Top Bottom