Nisaidieni mawazo, niko mpweke sana

jamani wana jamii wenzangu embu nisaidieni mawazo.mie ni bint wa miaka 34 very attractive,nafanya kazi nina elimu yangu na ni mkristu mzuri.tatizo ni kwamba ninaishi mbali na watu wa familia yangu,na mie sio mtu wa kujichanganya sana,baada ya kuwa na uhusiano na vijana wawili na kukuta ni matapeli nimeamua sitaki tena uhusiano na mwanaume labda awe mchaga mwenzangu ni hi kwa sababu wale matapeli walikuwa wenyeji wa huku ninakoishi.tatizo kubwa sasa hivi nimekuwa mpweke sana yani ninataka kuwa mwenyewe muda wote nimepanga nyumba nzima sikai hata na house girl,siendi kwa mtu wala sikaribishi tena mtu kwangu nikitoka kazini sa nane sitoki ndani hadi kesho yake,hata rafiki akiniita out natoa excuse ya uongo wkend natoka kuosha gari na kusali tu,at list jamii forum is my near friend and Jesus whom i talk to everytime..je hi hali ni ya kawaida.?nifanye nini?
Unatafuta mchumba kijanja sweetbaby hahahaaaa joke mwali usijali, Hiyo huwa inawatokea sana wenye maisha kama yako kabla hawajaolewa mara nyingi vijana wa kiume wanawaogopa hawa wasichana wenye kila kitu, wanahisi hawataweza kukudhibiti au kukwambia chochote, Cha muhimu jaribu kujichanganya na watu hata kama bado huitaji kuwa na mtu sasa hivi itakusaidia kuondoa upweke ulionao
 
If all options fail, there is Jesus who will never fail you!

Why do not you seek an audience with your pastor?

It could be a break through
 
Pole Sweetbaby! Ni vema kujichanganya na kumbuka kujichanganya si mpaka uende Disco usiku mpaka asubuhi au Baa. Kuna Vikundi wa Kidini (Kwaya, Fellowship, timu za mpira) zote hizo ni namna nzuri ya kujichanganya. Unaishi mkoa gani? I wish tuwasiliane zaidi. Mimi Frank Temu E-mail:franktemu123@yahoo.co.uk Simu 0759 333178
 
jamani wana jamii wenzangu embu nisaidieni mawazo.mie ni bint wa miaka 34 very attractive,nafanya kazi nina elimu yangu na ni mkristu mzuri.tatizo ni kwamba ninaishi mbali na watu wa familia yangu,na mie sio mtu wa kujichanganya sana,baada ya kuwa na uhusiano na vijana wawili na kukuta ni matapeli nimeamua sitaki tena uhusiano na mwanaume labda awe mchaga mwenzangu ni hi kwa sababu wale matapeli walikuwa wenyeji wa huku ninakoishi.tatizo kubwa sasa hivi nimekuwa mpweke sana yani ninataka kuwa mwenyewe muda wote nimepanga nyumba nzima sikai hata na house girl,siendi kwa mtu wala sikaribishi tena mtu kwangu nikitoka kazini sa nane sitoki ndani hadi kesho yake,hata rafiki akiniita out natoa excuse ya uongo wkend natoka kuosha gari na kusali tu,at list jamii forum is my near friend and Jesus whom i talk to everytime..je hi hali ni ya kawaida.?nifanye nini?

unaishi maisha ya ajabu sana!!!!!!!!wee dada nani alikuleta kwenye hii dunia?ulikuja kufanya nini??inaonekani hujui kwa nini unaishi,,hata mimi naishi peke yangu but very happy!!unategemea kupata furaha kutoka kwa manaume???kwani huwezi kujipa mwenyewe??nyie ndio mnafanya sisi wanawake tuonekana tunapenda kuwezeshwa!!!!!acha hizo wee dada,,live your life,,you will never live forever,,kama upo serious niambie nikwambie cha kufanya!!
 
rosemarie read between the line on what i narrated na some of my reply uone kama nimezungumzia wanaume tu au maisha kwa ujumla,atakayekuja kwangu kwani ni mwanaume tu ?dia hujanielewa sory for taking me wrong.nilishamua nitasoma tu lakini naona waliokoment leo some hawajanielewa nashukuru walionielewa.am not talking about man company baby,
 
jamani wana jamii wenzangu embu nisaidieni mawazo.mie ni bint wa miaka 34 very attractive,nafanya kazi nina elimu yangu na ni mkristu mzuri.tatizo ni kwamba ninaishi mbali na watu wa familia yangu,na mie sio mtu wa kujichanganya sana,baada ya kuwa na uhusiano na vijana wawili na kukuta ni matapeli nimeamua sitaki tena uhusiano na mwanaume labda awe mchaga mwenzangu ni hi kwa sababu wale matapeli walikuwa wenyeji wa huku ninakoishi.tatizo kubwa sasa hivi nimekuwa mpweke sana yani ninataka kuwa mwenyewe muda wote nimepanga nyumba nzima sikai hata na house girl,siendi kwa mtu wala sikaribishi tena mtu kwangu nikitoka kazini sa nane sitoki ndani hadi kesho yake,hata rafiki akiniita out natoa excuse ya uongo wkend natoka kuosha gari na kusali tu,at list jamii forum is my near friend and Jesus whom i talk to everytime..je hi hali ni ya kawaida.?nifanye nini?

mmh!sweetbaby jina lako ni zuri........,
kwanini haya yote yanakukuta?pole.....
narudi .................................
 
sweetbaby,
kanisani si wanafundisha watu wawe na upendo? Mbona hilo hulitimizi? Hata kama utakuwa mcha Mungu namna gani, kama huna upendo ni kazi bure. Jipende mwenyewe, penda majirani zako, wapende wagonjwa, wanaume wanaokutongoza na wasiokutongoza, wanawake wenzako na kubwa kuliko yote.......onyesha upendo wako kwa niliowataja kwa kuwatembelea, kuwajali na kuwa nao karibu. Hapo sioni ni vp utakuwa mpweke. Hakuna kabila bora kuliko lingine, wala hakuna mtu ambae ni mwema na mwaminifu eti kwa sababu yeye ni kabila fulani. Ondoa ubaguzi moyoni mwako na muombe Mungu akupe mume bora na si bora mume wa kichaga.
 
WELL SAID-KUNA MSEMO UNASEMA HUWEZI JUA UTAMPATA/UTAKUTANA WAPI NA MUMEO/MKEO-KWA HIO SWALA LA KUJICHANGANYA LINA UMUHIMU WAKE

ILA SWEETBABY-DONT WORRY-HAYA MAMBO YAPO,YANAWAPATA WATU NA PIA YATAISHA TU-
NGOJA NIKUPE WIMBO

This Too Shall Pass (By Yolanda Adams)

In the middle of the turbulence surrounding you
These trying times that are so hard to endure
In the middle of what seems to be your darkest hour
Hold fast your heart and be assured

This too shall pass, like every night that's come before it
He'll never give you more than you can bear
This too shall pass, so in this thought you be comforted
For it's in His hands, this too shall pass, oh yes

The Father knows the tears you cry before they fall
He feels your pain, His heart and yours are one
The Father knows that sorrow's heavy chains are strong
But with His strength, you'll overcome

For this too shall pass, like every night that's come before it
 
Pole Sweetbaby! Ni vema kujichanganya na kumbuka kujichanganya si mpaka uende Disco usiku mpaka asubuhi au Baa. Kuna Vikundi wa Kidini (Kwaya, Fellowship, timu za mpira) zote hizo ni namna nzuri ya kujichanganya. Unaishi mkoa gani? I wish tuwasiliane zaidi. Mimi Frank Temu E-mail:franktemu123@yahoo.co.uk Simu 0759 333178
Si unge M-PM yaani namba umeweka hapa kila mtu atajifanya yeye ni sweetbaby
 
umeshajua wewe ni mpweke, hivyo unahitaji ufanye mambo ya kujichanganya ili uweze kukutana na watu vinginevyo kataa au vipi ila utakuwa depressed soon..

Hang out na watu, meet-cutes, movies, swimming na activities zingine kutokana na hobbies zako..yes sali sana na uwe na Yesu daima lakini jitihada zionyeshe kwenye kuondokana na upweke..I always believe lazima u-play your part hata kama Jesus is always with you.
Mfano huwezi kusali kucha na kushinda hata kufunga bila kusoma kabisa na utegemee kupasi mitihani kama unasoma. Hivyo play your part and he will do the rest!!..That's my belief and I'm christian too!!

Usijifungie ndani, samehe kama ulitendwa na hao vijana wawili na fungua moyo wako tena sema uwe mwangalifu..
 
sina mtoto na sitafuti mtu wa kunipa mimba kwani wew hapo ulipo ushajua Mungu atakupa pumzi ya miaka mingapi kumuhudumia HUYO mtoto wa mkeo?Sara aliza na miaka tisini why should i be wory?USIJALI KAKA YANGU ME NI BINTI MWENYE SURA NA NAJIHESHIMU SANA NINGETAKA KUOLEWA HATA KESHO BUT I HAVE MY BELEIF AND MALENGO MBONA WANAOTAKA KUNIOA HATA KESHO NI WENGI TU ILA CJAPATA WA KUFANAN NAE.
Hivi humu JForum kuna tabia ya uongo uongo?????
:::::::mad:::::::
 
hahaha jamani sasa pm itasaidia nini.sikiza El kumjua mtu sio lazima ukae nae au usimuliwe, maandishi tu yatosha kukujulisha tabia ya mtu sa kama mtu hana sense of humour unafikiri nani wa kumlaumu,am real nice woman. ucku mwema
 
no way nemeona huku wanawake wanapewa mashushu sana yani nije kuumia tena?sithubutu.aliye serious najua atanitafuta hata mwakani tukijaliwa uzima.nimepata msg nyingi za kejeli chache za sympath so there is no way i can trust anybody here kama vile ambavyo wewe huamini watu humu na mimi ni kipimo hichohicho.i express my feeling and what am going thru that is all.asante kwa walionielewa wazidi kupata neema wote.
 
sweetbaby: no way nemeona huku wanawake wanapewa mashushu sana yani nije kuumia tena?sithubutu.aliye serious najua atanitafuta hata mwakani tukijaliwa uzima.nimepata msg nyingi za kejeli chache za sympath so there is no way i can trust anybody here kama vile ambavyo wewe huamini watu humu na mimi ni kipimo hichohicho.i express my feeling and what am going thru that is all.asante kwa walionielewa wazidi kupata neema wote.

Ni kawaida ya watu, wapo wa kukatisha tamaa wapo wale watakaokupa moyo. Yote yana mwisho, ipo siku utampata mnayefanana na hivyo kuwa pamoja. Endelea kumtegemea aliyekupa Uhai maana ndo huyo huyo anayejuwa hali uliyomo. Jipe moyo Usikate tamaa wala kuwa na pupa. Nakushauri ujichanganye, usiiwe na tabaka la watu wa kuongea nao katika jamii uliyomo na usijikweze kwa mafanikio yako katika mchakato mzima wa kumsaka mtalajiwa. Zaidi, usisahau kuwa wewe ni mwanamke wa Ktz hivyo usisahau culture yako
 
no way nemeona huku wanawake wanapewa mashushu sana yani nije kuumia tena?sithubutu.aliye serious najua atanitafuta hata mwakani tukijaliwa uzima.nimepata msg nyingi za kejeli chache za sympath so there is no way i can trust anybody here kama vile ambavyo wewe huamini watu humu na mimi ni kipimo hichohicho.i express my feeling and what am going thru that is all.asante kwa walionielewa wazidi kupata neema wote.
We unaogopa mashushu? simamia feelings zako haya ni maneno tu hata kwenye gazeti yapo yasikupe presha
 
Back
Top Bottom