Nisaidieni kutofautisha hizi course

omega_

Member
Dec 3, 2018
29
9
Eti wakuu samahani,

Je, kuna utofauti gani kati ya Bachelor of Arts in economics na Bachelor Science in Economics and Finance interm of meaning and career.
 
Bachelor of arts in ..... hii n degree mahusus kwa mtu aliyesoma arts form six baadhi ya nchi ipo kozi fulani hivi inayofanana sana na ya hapa bongo inaitwa bachelor of arts in biology ( haideal na mambo ya science yenyewe imebase kwenye management zaidi na communication skills ) wakati bongo inajulikana Kama bachelor of science in biology (deals with pure science )
 
Aisee
 
Back
Top Bottom