Kumtafuta Sungura tu Chemsha bongo
ndipo unitafutie Fisi
Tausi
perege
nyoka
![]()
Kazi njema
Mabudha nilisoma nao nawajua juu chini!!umetisha mkuu........
Mabudha nilisoma nao nawajua juu chini!!
Mpare kiboko Sungura hujamuona unataka ukasome na MabudhaaChuo gani kaka manake hata mimi nilisoma nao
Mpare kiboko Sungura hujamuona unataka ukasome na Mabudhaa
mwache Zamiluni Zamiluni akinyakulia ushindi
Katika jicho la huyo Bint wa kiBudha kuna mdudu gani ? hata kule Kiriche wanampenda (sio samaki wa Lembeni lkn)