Mume wangu ni mzee kijana, hakuwahi kuniambia kuwa walizaliwa mapacha.....
Niliolewa na mumewangu miaka 3 iliyopita, tumebarikiwa mtoto mmoja wa kike, mumewangu ni mfanyakazi na pia ni mfanyabiashara. Mwaka mpya 2014 nilipata surprise nyumbani kwangu baada ya mume wangu kurudi na mwanaume mwingine ambaye wamefanana mnoo, kumbe ni pacha wake. Hakuwahi kuniambia kuwa walizaliwa mapacha kumbe walificha kwasababu pacha wake alifungwa jela tangu akiwa na miaka 25. Familia yao ilifanya hivo kuficha aibu ya familia hivyo mwaka huu ndokamaliza kifungo na akataka kuja kwa pacha wake apumzike. Ni mwezi sasa unakaribia kuisha huyu pacha wa mume wangu yupo nyumbani na sijui ataondoka lini.
Havi ninavoandika pacha kanibaka usiku wa kuamkia jumamosi iliyopita. Nimemueleza mumewangu kanipa pole na kaniambia yule ni kaka yangu nimvumilie ametoka jela......
Ntaendelea baadae..