Lady.A
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 393
- 194
kwani wote wapo hivyo?
asilimi kubwa, we jaribu kuchunguza!
kwani wote wapo hivyo?
malizia kusoma nilipoishia jana, kisha anzia hapo.
Kazi kweli kweli. Mtoa mada kweli uliyoandika yamekutokea au umeamua kufurahisha jukwaa tu. Nasema hivi kutokana na ulivyoandika mada yenyewe, hebu kuwa wewe msomaji je ungeichukuliaje mada ya namna hii.
Asante naona jana ilikuwa episode ya kwanza. Je yangekukuta ungechukua uamuzi gani (najaribu kufikiria tu)?malizia kusoma nilipoendeleza toka nilipoishia jana kisha utajua kama ngumu kumesa au kutema.
doooh kama huwa unaangalia avatar na kukonkludi basi huwa unakosea sana, pole