Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,240
Mume wangu ni mzee kijana, hakuwahi kuniambia kuwa walizaliwa mapacha.....
Niliolewa na mumewangu miaka 3 iliyopita, tumebarikiwa mtoto mmoja wa kike, mumewangu ni mfanyakazi na pia ni mfanyabiashara. Mwaka mpya 2014 nilipata surprise nyumbani kwangu baada ya mume wangu kurudi na mwanaume mwingine ambaye wamefanana mnoo, kumbe ni pacha wake. Hakuwahi kuniambia kuwa walizaliwa mapacha kumbe walificha kwasababu pacha wake alifungwa jela tangu akiwa na miaka 25. Familia yao ilifanya hivo kuficha aibu ya familia hivyo mwaka huu ndokamaliza kifungo na akataka kuja kwa pacha wake apumzike. Ni mwezi sasa unakaribia kuisha huyu pacha wa mume wangu yupo nyumbani na sijui ataondoka lini.
Havi ninavoandika pacha kanibaka usiku wa kuamkia jumamosi iliyopita. Nimemueleza mumewangu kanipa pole na kaniambia yule ni kaka yangu nimvumilie ametoka jela......
Ntaendelea baadae..
Kutoka nilipoishia jana....
naona watu wengi hawakusoma niliposema nitaendelea baadae...
Huyo shemeji (pacha wa mume wangu) tukio alilonofanyia ni baya sana, usiku ule nilipoamka kwenda kuchukua maji kwenye friji nilikuwa nimevaa khanga moja nyepesi huku ndani nikiwa mtupu (kama ujuavyo wanandoa kulala kama walivozaliwa) wakati narudi chumbani kwangu kulala nikastukia nishikwa bega kwa nyuma niliogopa na nikageuka nyuma nikakutana uso kwa uso na shemeji yangu. Kumbe alikuwa seblen ina muda wote huo na alikuwa ananiangalia hadi nilipokuwa narudi chumbani ndo akainuka kuninyatia kwa nyuma. Sikujua kama kuna mtu sebleni kwa kuwa taa zote zilikuwa zimezimwa na mie sikuwasha taa wala sikuwa na hofu kwamba kutakuwa na mtu maeneo ya sebleni au jikoni usiku huo mnene.
Nikamuuliza shemeji kulikoni nikiwa na hofu akaniziba mdomo na kuninyanua juu hadi kwenye kochi nilitaka kupiga kelele akaniziba tena na mdomo wake huku mshumaa wake ukiwa umesimama wima, nikiwa nafurukuta pale jinsi ya kujinasua alichomeka na kumaliza haja zake huku jasho likimtoka. Nilianza kulia na kumpiga shemeji ngumi ambazo zilipungua nguvu jinsi nilivokuwa nampiga.... Aliinuka na kunifunika na khanga yangu kisha akaondoka kuelekea chumbani kwake. Nikarudi chumbani huku nalia, nikamuamsha mume wangu kumuelezea yaliyonikuta hakuamka.... maana pombe ilikuwa bado iko kichwani nyingi. Sikulala hadi ilipofika asubuhi nikamuambia mume wangu yaliyonikuta huku nalia, akastuka sana na kutoka chumbani bila kunijibu kitu. Alikaa mda mrefu kama masaa 2 kisha akarudi chumbani, (hope alikuwa anaongea na kaka yake).
Aliporudi chumbani mumewangu akaniambia pole mke wangu ila naomba uvumilie hii issue haiwezi kwenda nje ya familia maana huyu ni pacha wangu ila ntahakikisha shemeji yako ataondoka hapa kabla ya mwezi wa sita. Ndipo akaniambia kuwa pacha wake sababu iliyomfanya aende jela tangu akiwa na miaka 25........
...............ilikuwa ni kubaka, na kwa wakati huo alimbaka mtoto mmoja wa aliyekuwa kibosile serikalini hivyo kibosile yule alihakikisha kuwa pacha wake ameenda jela. Kumbe familia ilikuwa inahangaika juu chini kumtoa jela hadi mwaka huu 2014 walipofanikiwa kumuombea apunguziwe kifungo ndipo mwaka huu walipofanikiwa na akaruhusiwa na alifikia kwangu moja kwa moja.
Baada ya mume wangu kuniambia hayo nilihisi kichwa kinaniwasha ila kujikuna sikuweza hadi hapa nilipo kichwa kinaniwasha ila kujikuna siwezi....
Nawaza jinsi ya kukaa na huyu shemeji yangu hadi ifike huo mwezi wa sita ambao mume wangu ameniambia kuwa shemeji yangu ndo ataondoka. HUKU NILIKOOLEWA KUNANIFANYA KICHWA KINAWASHA ILA KUJIKUNA SIWEZI....................
Maneno haya alimalizia kuniambia shosti wangu Kidawa alipokuwa akinisomea hadithi kwenye riwaya za babu.
Mimi baada ya kunisomea riwaya hiyo nikakumbuka wimbo wa Wanaume TMK Family unaoimbwa..."KILA DILI NILILOPIGA BADO HALIJALIPA SASA NITAFANYAJE, AAEEEH NITAFANYAJE, HADI SASA BADI KICHWA KINAUMA..." :mod: :fish:
Asanteni kunisikiliza/kusoma uzi huu, poleni wote wale ambao mmeghafirika na kuchangia bila kusubiria mwisho wa habari.
MORAL OF THE STORY:
Jioni njema wote.

- UWE MNASUBIRIA MWISHO, USITOE HUKUMUA AU USHAURI KATIKATI YA MAELEZO.
- MSIENDEKEZE MASHEMEJI
- TOA MSAADA PALE UNAPOWEZA USIPOWEZA NYAMAZA NA UONDOKE USITUKANE.
Jioni njema wote.