Nisaidieni kuinua kipato wana JF! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni kuinua kipato wana JF!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Konzogwe, Feb 29, 2008.

 1. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Am a tailor (gents & ladies suit maker) with 8yrs experince but I've no any CV b'se I got from local tailoring industry. Najiamini nafanya hiyo kazi katika International standards when I compare (my own and costomers' views)with imported such products. Problem is CAPITAL! Nisaidieni mwenzenu kupata kazi ktk industry kubwa ili niinue kipato. Kwa sasa ninayo garment yangu ndogo enough for meal and common necessities of life.
   
 2. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #2
  Mar 8, 2008
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Konzogwe pole kuwa sijaona response yoyote kwako. Naomba muda kidogo tu, nimekuweka kwenye diary yangu nitakupa contacts kadhaa za kukusaidia kwa kazi yako kuwa na ufanisi zaidi. SIjajua uliko kwakuwa naweza kujikuta nakupa contacts zisizo na msaada kwako.

  Am concerned ninapoona watu wanaopigana kama wewe wanakosa kufikia ndoto zao. Trust me, utafanikiwa soon. Amini Mungu atafanya muujiza kwa ajili yako na jikimu ndugu yangu.

  Mac
   
 3. C

  Chuma JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ushauri wangu ni kuwa ni bora Ukomae na Business Binafsi kuliko kuajiriwa...kazi za kuajiriwa zina mashaka yake.

  Ni bora kuangalia namna ya kukusanya mitaji na watu wengine humu JF au Ndugu na Jamaa zao hapa nyumbani TZ. Nje ya Nchi kazi wanapata sana watu kutoka India maana wenzetu sio siri wametuzidi ktk Kila Fani. Hii fani ya Nguo aahh si mchezo.

  Nijuavyo mradi wa kutengeneza Suruali au nguo za Kiume pekee unalipa ukiwa serious na Mwaminifu. Ushauri wangu usitafute ajira ya kuajiriwa na MTU. Nitumie PM na unijulishe ulipo mie ntapass info kwa rafiki zangu kama wana fursa waweze kukusaidia ili ujenge Industry yako ya KIAINA.

  Kuna Jamaa wa kichaga yupo hapo Uhuru opposite na shule ya Haramain, yeye tangu sie tu wadogo yeye anatengeneza viatu hadi sasa...nimekupa huu mfano ili nawe ujenge nidham ya kukua taratibu, kama unataka utajiri wa haraka, ujiunge na UFISADI CLUB
   
 4. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2008
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  Unajua Chuma kama jamaa alivyosema, shida ni capital. Unajua siku hizi unlike siku za nyuma maisha yanabadilika sana and reality is dawning on most of us. Unless mtu awe mjinga kiasi gani, lakini mtu akipata capital nadhani lazima ataitumia kwa adabu sana. Kama jamaa kakaa kwenye industry ten years almost naamni huyo ameshakuwa na discipline na anayajua maisha. So kama una uwezo just help him. Hata ideas ni muhimu.

  Mfano mi nina rafiki yangu wa siku nyingi sana, jamaa ni peasant lakini hardworking sana. Yaani mno na elimu ofcourse ni la saba. Aliniomba nimsaidie..well nilimuuliza what he can do na akaniambia, he gave me his plans and visions. Kwa kweli what I have done nimempa hicho kidogo nilicho nacho na nimemwambia kabisa..ee bwana sikupi mkopo..huu ni mchango wangu katika harakati zako za kujiinua kiuchumi. Kwa hiyo Iam optimistic, ninavyomfahamu he will do someting positive with the amount I offered. Akiwa otherwise, ndo basi tena. Kwa sababu huyo ukimsaidia..atasaidia wanae wasome..in the process hawatakuwa street kama majambazi au ombaomba..you get my point? Ni tough but hakuna shortcut mkuu.

  Aise yaani Tanzania watu wetu ni maskini mno, na coupled na elimu ndogo, tunahitaji kusaidiana sana.
   
 5. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  <thank you for your advise. Yov asked a PM frow me & you promised to pass info to your friends thats why I told you niko MIKUMI NATIONAL PARK. Unfortunately enough you misconstrue....
   
 6. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 135
  Konzogwe,

  Kwanza kabisa nikupe pole na pilika za maisha na jitihada zako za kujinasua kutoka kwenye dimbwi la umaskini ambao ni ugonjwa wetu wengi.

  Ni muhimu kama unajiamini na kiwango cha utendaji wako uanze kujitangaza sasa. Unaweza kufanya hili kwa kuweka matangazo ya kazi zako kwenye magazeti ya kila siku na redio,kwa kuanzia tu unaweza kutengeneza posters na/au leaflets (black and white)na kuzisambaza mitaani.Unaweza pia kushiriki kwenye maonyesho ya mavazi au biashara na wakulima ikibidi hata yale yanayofanyika nchi jirani.

  Utahitaji pesa katika campaigns za kutangaza kazi yako na ningekushauri kwa hili uende kwenye benki yako au taasisi nyingine za fedha na kuomba mkopo.Ili uongeze nafasi ya ombi lako la mkopo kukubaliwa, inakubidi uanze kuendesha biashara yako kitaalamu zaidi- uwe na uwezo wa kuandaa simple statements zinazoonyesha mauzo, matumizi na faida unayopata,etc.

  Mwisho kabisa ningekushauri uhame Mikumi kama unataka kuendelea, hapo ni kijijini na idadi ya watu wanaoona kazi zako ni ndogo sana, ningeshauri uhamishie ofisi mji mkubwa ambapo kuna mahitaji makubwa ya suti!

  Ni hayo tu kwa leo ndugu yangu, kila la heri, usisite kuwasiliana nami kwa ushauri zaidi.

  Kana.
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Cha msingi mwaga hadharani full details zako ili tuweze kukupa michongo ikitokea hasa ya harusi na sherhe once nilipokuwa Moro niliwai sikia mbwembwe zako.

  Nakushauri endelea kuwa mjasiriamali otherwise mambo ya kuajiriwa si mazuri.
   
 8. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Sio unatupeleka jandoni mzee? Kwani MTZ kwa kubuni namuogopa sana, lakini kama kweli basi na mie nakusihi maishani mwako usiajiliwe asilani, jiajili mwenyewe halafu watafute mafisadi wakupe tenda za nguvu na uwakatie fungu za mchwa mara moja utatembelea matawi ya juu
   
 9. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2008
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mimi mwenyewe nahitaji kusaidiwa. Capital ni problem kwenye kila biashara. Mshukuru mungu kwa kile ulichonacho badala ya kufikiria ku expand wakati uwezo wa ku expand huna. Kuna watu ambao hata hapo ulipofika wewe kwao ni ndoto.
   
 10. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2008
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
   
 11. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  USIKU WA DENI MFUPI MAC NAULIZA ILE AHADI (ahadi ni deni)..
   
Loading...