WanyarwandaNisaidieni jamani, Hivi WASUKUMA ni WAKENYA au WARUNDI, am always confused here, Najua jibu ni kati ya hayo mawili, lakini ni lipiii ?
Wabongo tuna aina ya warundi wetu na wanyarwanda wetuWarundi/wanyarwanda ni hao hao. Ahsante Mkuu
Hehe hao jamaa ni mixer moja hatari ,watu wa sehemu tofauti wakakutana wakajiita hilo jina...ndo maana ndani yake kuna hadi wa asili ya nchi jiraniKwa kuwa ni usiku saa hizi, nakusamehe, maana inawezekana umejibu ukiwa ndotoni kidogo.
Huku nilipo ni mchanaKwa kuwa ni usiku saa hizi, nakusamehe, maana inawezekana umejibu ukiwa ndotoni kidogo.
Fanya ulichotaka kufanya mwanzo, mm sitaki kusamehewaOk... Day dreams are real though !