doris mwakitalima
New Member
- Apr 6, 2014
- 3
- 0
Jamani mmii kwenye idara hii mgeni ila nataka mnisaidie kuhusu TANESCO. Kwetu kuna mstim mrefu sana, wiki moja na nusu hivi zilizopita mvua ilikua inanyesha mara umeme ukakati na ilikua usiku sana asubuhi tukagundua kua umeme ulikua umekwisha, tulivyoangalia tukakuta waya ambao TANESCO waliusifia sana kama miezi miwili iliyopita haupo. Umeibiwa tumeripoti TANESCO lakini jibu nitutakuja. Nina wiki sina umeme na wamesema lazima nilipie jamani kweli wire watangu mwaka72 umeibiwa leo tena kule juu.
Wenye ujuzi ni TANESCO nisaidieni niende jamani
Wenye ujuzi ni TANESCO nisaidieni niende jamani