Mapenzi ya kweli yapo, uaminifu upo, kuheshimiana kupo...! Haya yote yanategemea malezi na mkuzi ya muhusika.Wana JF habarini za week-end? Bila shaka imeenda salama kabisa na kila mmoja ameweza kurejea kwa mkoloni wake kwa utumishi wake... Leo napasua ukweli wa moyo wangu juu ya imani hasa kwenye uwanja wa mapenzi; Hivyo, naombeni mahubiri kwa ajili ya kupata imani sawia..
Kuwa kutokana na ninayoyashudia hapa duniani nashindwa kuamini kama kuna uaminifu katika mapenzi.... Je, Am I right or wrong anyway? This made me not even trust my sister against my brother.... my dad against my mother in law.... my GF against my brother.... my co-worker against our boss..... my classmate against our teacher..... etc.
Kwa hiyo swala la kumwamini mwenzio kwenye mapenzi limeshakuwa ndoto.... Thanks for your openness.... Kwa sababu baadhi ya watu wamekuwa wakija juu wanisikiapo nikisema "I never trust a human being....... but I can have hope instead...."Uko kweli mia kwa mia.... Siku hz hakuna kitu inaitwa UAMINIFU katika mapenzi... Hiyo kitu ilikuwa zamani kwa mababu na mabibi!
Mapenzi ya kweli yapo, uaminifu upo, kuheshimiana kupo...! Haya yote yanategemea malezi na mkuzi ya muhusika.
Nafurahi kukuona tena baada ya kuniacha njia panda hadi leo..... Nami nimebaki kuamini kuwa uaminifu umetoweka kabisa.... na njia pekee ni kuwa mwaminifu kivyako, japo si kumwamini mtu wala kumfanya akuamini.....uaminifu kweli upo paster lakini utamuamini mtu lakini hakuamini au atakusaliti because u trust and love him!!!love,,???omg sijui ni kitu gani wallah!!!
Kwa hiyo swala la kumwamini mwenzio kwenye mapenzi limeshakuwa ndoto.... Thanks for your openness.... Kwa sababu baadhi ya watu wamekuwa wakija juu wanisikiapo nikisema "I never trust a human being....... but I can have hope instead...."
Nafurahi kukuona tena baada ya kuniacha njia panda hadi leo..... Nami nimebaki kuamini kuwa uaminifu umetoweka kabisa.... na njia pekee ni kuwa mwaminifu kivyako, japo si kumwamini mtu wala kumfanya akuamini.....
Kwa hiyo swala la kumwamini mwenzio kwenye mapenzi limeshakuwa ndoto.... Thanks for your openness.... Kwa sababu baadhi ya watu wamekuwa wakija juu wanisikiapo nikisema "I never trust a human being....... but I can have hope instead...."
jamani tusitishane kihivo! Mbona mimi bado naamini katika uaminifu wa mapenzi japo nakubali wengi wetu si waaminifu lakini wapo wake na waume ambao ni waaminifu
Nakukubali Dena..... Watoto wenyewe wanasema hawadanganyiki.... why us adults? For sure there is no longer trust.... But, I am asking myself on what to do then?
How many relationships do you had till today? Did you being perfect as you know yourself? Have you being moving out of your residential place? How frequent, and what did you observed on your trips? Then you say you can trust a human being.....!!!!! How many case we normally here through forums like JF, friends, media, etc. about mzee kutembea na mwanae wa damu, mtu na mdogo wake, mtu na shemejie... Hatukutishi mkuu, bali haina maana kukudanganya.....jamani tusitishane kihivo! Mbona mimi bado naamini katika uaminifu wa mapenzi japo nakubali wengi wetu si waaminifu lakini wapo wake na waume ambao ni waaminifu
Uktih Niliham, Mambo ya mapenzi ni uwanda mpana sana na kuna mambo mengi yenye kusababisha kupungua kwa mapenzi na kuto kuaminiana...! Sababu kubwa ya wanandoa kuchokana, kunasababishwa na wana ndoa wenyewe, pale ambapo mtashindwa kutumia nafasi yanu na vipawa malivyopewa kuleta utulivu katika ndoa yenu...! Hii yote ni kutokuwa na akhlaaq nzuri. Mambo mengine usababishwa na Kutokuwa na Imani na Taqwa inayohitajika, Watu kuingia katika ndoa bila ya kujua haki na majukumu yake, Ukabila na utaifa na mambo ya kadha wa kadha...!uaminifu kweli upo paster lakini utamuamini mtu lakini hakuamini au atakusaliti because u trust and love him!!!love,,???omg sijui ni kitu gani wallah!!!
Duh.... Pole nimpendaye..... nini kimekutokea? Aidha, tumshukuru Allah.....!noo not like dat si nimesema nilikuwa taaban mwenzio wallah nikumshukuru allah tu kwa rehma zake leo tumekutana binaadam hujafa hujaumbika my dear sikutegemea mi kupona na kuwa hapa nilipo wakati huu la!!! il llahh!!!
How many relationships do you had till today? Did you being perfect as you know yourself? Have you being moving out of your residential place? How frequent, and what did you observed on your trips? Then you say you can trust a human being.....!!!!! How many case we normally here through forums like JF, friends, media, etc. about mzee kutembea na mwanae wa damu, mtu na mdogo wake, mtu na shemejie... Hatukutishi mkuu, bali haina maana kukudanganya.....
Mh. Nisome kwa nukta kwenye mchango wangu. Nimeweka bayana kabisa juu ya suala zima la watu kutokuwa waaminifu lakini hiyo haifanyi jamii nzima kuwa na tatizo hilo.How many relationships do you had till today? Did you being perfect as you know yourself? Have you being moving out of your residential place? How frequent, and what did you observed on your trips? Then you say you can trust a human being.....!!!!! How many case we normally here through forums like JF, friends, media, etc. about mzee kutembea na mwanae wa damu, mtu na mdogo wake, mtu na shemejie... Hatukutishi mkuu, bali haina maana kukudanganya.....
jamani tusitishane kihivo! Mbona mimi bado naamini katika uaminifu wa mapenzi japo nakubali wengi wetu si waaminifu lakini wapo wake na waume ambao ni waaminifu