Nisaidieni kuchagua wana JF

Nisaidieni kuchagua wana JF

CUSO

Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
26
Reaction score
4
Kati ya njia kuu na michepuku ipi inaokoa muda? Kuna mtu alinishauri niachane na njia kuu kwan hupoteza muda. Point yake ni kwamba njia kuu kuna foleni sana wakati michepuko unatafuta tu upenyo na kuongeza spidi zaid. Pia anasema njia kuu kuna vikwazo na masharti weeeee!! Kwangu mimi alinishawishi sana ila nikashindwa kwenda michepuko au kwenda njia kuu, nimebaki njia ya kati nimekoswa appropriate side. Msaada wenu watalaam wa kupambanua mambo.
 
Baki njia kuu kwa usalama wako zaidi, wanasema - kawia ufike
 
Inatakiwa uwe na NJIA KUU na MCHEPUKO si ndivyo wadau wa Mapenzi, Mapenzi University(MMU)
 
Kaombe ushauri kwa wote mchepuko na njia kuu majibu utakayopata jumlisha gawanya kwa 2 na uchukue hatua.
 
Inatakiwa uwe na NJIA KUU na MCHEPUKO si ndivyo wadau wa Mapenzi, Mapenzi University(MMU)

Theodore hapo ndo umenishawishi. hivi wasema nikomae na njia kuu unajua mizengwe ya hapo? sa kazi nitafanya muda kama kwenye foleni natumia nusu siku?
 
Kati ya njia kuu na michepuku ipi inaokoa muda? Kuna mtu alinishauri niachane na njia kuu kwan hupoteza muda. Point yake ni kwamba njia kuu kuna foleni sana wakati michepuko unatafuta tu upenyo na kuongeza spidi zaid. Pia anasema njia kuu kuna vikwazo na masharti weeeee!! Kwangu mimi alinishawishi sana ila nikashindwa kwenda michepuko au kwenda njia kuu, nimebaki njia ya kati nimekoswa appropriate side. Msaada wenu watalaam wa kupambanua mambo.

hivi kijana unaelewa hata hii concept ya njia kuu na njia panya?

hebu tiririka desa tuone kama uko competent...
 
Kati ya njia kuu na michepuku ipi inaokoa muda? Kuna mtu alinishauri niachane na njia kuu kwan hupoteza muda. Point yake ni kwamba njia kuu kuna foleni sana wakati michepuko unatafuta tu upenyo na kuongeza spidi zaid. Pia anasema njia kuu kuna vikwazo na masharti weeeee!! Kwangu mimi alinishawishi sana ila nikashindwa kwenda michepuko au kwenda njia kuu, nimebaki njia ya kati nimekoswa appropriate side. Msaada wenu watalaam wa kupambanua mambo.

Ingia hapa kwa msaada zaidi...https://www.jamiiforums.com/mahusia...umia-misemo-hii-wakati-hauko-kwenye-ndoa.html
 
Kati ya njia kuu na michepuku ipi inaokoa muda? Kuna mtu alinishauri niachane na njia kuu kwan hupoteza muda. Point yake ni kwamba njia kuu kuna foleni sana wakati michepuko unatafuta tu upenyo na kuongeza spidi zaid. Pia anasema njia kuu kuna vikwazo na masharti weeeee!! Kwangu mimi alinishawishi sana ila nikashindwa kwenda michepuko au kwenda njia kuu, nimebaki njia ya kati nimekoswa appropriate side. Msaada wenu watalaam wa kupambanua mambo.
Kumuulize kiongozi wa imani yako utapata jibu zuri.
 
Tembea kwa miguu kama njia zote zina magumashi....
 
Back
Top Bottom