Nisaidieni kisiasa

Asha Abdala

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
1,130
44
Mod

nina nia ya kueneza CHADEMA,naombeni basi katika avatar badala ya kuweka picha yangu. Niwekeeni maneno: www.chadema.net sambamba na jina langu jamani. Au nipeni tuition kama aliyonipa SteveD

Lav ya

Asha
 
Mod

nina nia ya kueneza CHADEMA,naombeni basi katika avatar badala ya kuweka picha yangu. Niwekeeni maneno: www.chadema.net sambamba na jina langu jamani. Au nipeni tuition kama aliyonipa SteveD

Lav ya

Asha

HERI WEWE UMEKUWA MUWAZI ZAIDI.....!NAOMBA NIKUPE USHAURI WA KUKUSAIDIA KISIASA KAMA ULIVYOOMBA!
NYERERE ALIWAHI KUSEMA CCM SI MAMA YAKE......NA CCM ILPOKOSEA ALIKUWA HODARI WA KUKOSOA(kumbuka yeye bado alikuwaccm)....VIONGOZI WALAFI ALIKUWA KINYUME NAO HATA AKADIRIKI KUSEMA ATARUDISHA KADI IKIWA WATAPITISHWA KUGOMBEA.....HATA IKAFIKIA KUDIRIKI KUSEMA KIONGOZI BORA ATATOKA CCM......ALISEMA HAYA KWA KUWA HUKO CCM(those days) KULIKUWA NA KUKOSOANA PALE MTU ANAPOKOSEA PASIPO KUJALI NI MWANA-CCM......HALI HAIKUWA HIVYO KWA VYAMA VINGINE.......KUMBUKA RASKAZONI SAGA,MAPALALA ISSUE ETC.....!
HIVYO BASI ILI USAIDIWE KISIASA UWE NA MSIMAMO WA KUTETEA HAKI,UADILIFU,WANYONGE, NA SI CHAMA,HAPO ITAFUATIWA NA OMBI ULILOLITOA HAPO JUU....!
TUNAELEWANA WATANZANIA...!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom