naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,750
- 2,438
Wakuu poleni kwa uchovu na miangaiko ya kutwa nzima, naombeni msaada kwa yeyote anayeelewa setting ya kufanya nipate notification kama mtu akireply thred niliyoweka au kama mtu akichangia kwenye tetx yangu.