Rafiki usikate tamaa,mbona bado mapema sana? people wanakaa miaka kadhaa hawajapata kazi za fani zao,hebu jishikize kwa kitu chochote simple wakati unasubiri utajibiwa tuHi great thinkers, naombeni msaada jinsi nitakavyoweza kufika kwao makirikiri, SABABU: mi ni mhitimu wa chuo kikuu nikiwa na degree ya sayansi ya wanyama (animal science and production), miaka yote serikali yetu imekuwa ikitangaza kuwa ina upungufu wa maafisa mifugo zaidi ya 7000, na rais alitangaza mwenyewe kuwa atakayehitimu degree ya aina hii apeleke application zake moja kwa moja kwa katibu mkuu wa wizara na atapangiwa kituo, cha ajabu application zangu zina miezi 2 bila majibu, HITIMISHO: Najua hii ni serikali ya siasa zaidi, usikute hakuna u-serious wowote katika hili, nasikia degree ya aina hii inalipa Botswana hivyo ninaomba kama kuna mtu ana maelekezo zaidi jinsi ya kufika kule na kupata ajira anielekeze au kama una ndugu huko na unaweza kuni-connect naye anisaidie, ili tukazalishe mifugo bora huko ili rais (toka TANZANIA) akija ziara ashangae na kuomba sample ya kuleta Tanzania, alafu akiuliza nyie watalaam ni kutoka nchi gani atachibiwa TANZANIA KARIBUNI
Unahitaji Ng'ombe wangapi? fedha kiasi gani< eneo ekari ngapi, kwa uchache wa kuanzisha shamba la mifugo kwa faida? naweza kutoa msingi unaohitajika kukiwa kuna data kamili. Faida nusu kwa nusu baada ya gharama zote. Jee. Unaweza? au bado unahitaji uajiriwe ili upate ujuzi wa ziada? Ni PM lama unaweza kuanzisha hii biashara from grass roots.
Mimi Nina degree ya wildlife science naomba aniajiri kama range land manager, kama una fund yakutosha unaonaje tuka anzisha zoo au ranche au garden ya mboga za majani, matunda, tukafuga kuku wa mayai na nyama pamoja na ngombe wa maziwa, tuka anzisha na mabwawa ya samaki tukawa tuna sambaza product zetu kwenye mahotel makubwa.na viwandani kam cha azam etc.au tuka anzisha tour company nahiyo mipango ila tatizo ni capital. unaweza ukanicheki sazukha@yahoo.com
FF una nini wewe??? au unaka-RUZUKU kutoka Igunga???