Nisaidieni jinsi ya kufika kwao makhirikiri

msikivuTz

Member
Apr 17, 2011
68
407
Hi great thinkers, naombeni msaada jinsi nitakavyoweza kufika kwao makirikiri,
SABABU: mi ni mhitimu wa chuo kikuu nikiwa na degree ya sayansi ya wanyama (animal science and production), miaka yote serikali yetu imekuwa ikitangaza kuwa ina upungufu wa maafisa mifugo zaidi ya 7000, na rais alitangaza mwenyewe kuwa atakayehitimu degree ya aina hii apeleke application zake moja kwa moja kwa katibu mkuu wa wizara na atapangiwa kituo, cha ajabu application zangu zina miezi 2 bila majibu,
HITIMISHO: Najua hii ni serikali ya siasa zaidi, usikute hakuna u-serious wowote katika hili, nasikia degree ya aina hii inalipa Botswana hivyo ninaomba kama kuna mtu ana maelekezo zaidi jinsi ya kufika kule na kupata ajira anielekeze au kama una ndugu huko na unaweza kuni-connect naye anisaidie, ili tukazalishe mifugo bora huko ili rais (toka TANZANIA) akija ziara ashangae na kuomba sample ya kuleta Tanzania, alafu akiuliza nyie watalaam ni kutoka nchi gani atachibiwa TANZANIA…
KARIBUNI
 
M2 wangu miezi 2 tu uckate tamaa bana!! We vp wa2 wanakaa kitaa hata miaka miwili na zaidi.
 
Hi great thinkers, naombeni msaada jinsi nitakavyoweza kufika kwao makirikiri, SABABU: mi ni mhitimu wa chuo kikuu nikiwa na degree ya sayansi ya wanyama (animal science and production), miaka yote serikali yetu imekuwa ikitangaza kuwa ina upungufu wa maafisa mifugo zaidi ya 7000, na rais alitangaza mwenyewe kuwa atakayehitimu degree ya aina hii apeleke application zake moja kwa moja kwa katibu mkuu wa wizara na atapangiwa kituo, cha ajabu application zangu zina miezi 2 bila majibu, HITIMISHO: Najua hii ni serikali ya siasa zaidi, usikute hakuna u-serious wowote katika hili, nasikia degree ya aina hii inalipa Botswana hivyo ninaomba kama kuna mtu ana maelekezo zaidi jinsi ya kufika kule na kupata ajira anielekeze au kama una ndugu huko na unaweza kuni-connect naye anisaidie, ili tukazalishe mifugo bora huko ili rais (toka TANZANIA) akija ziara ashangae na kuomba sample ya kuleta Tanzania, alafu akiuliza nyie watalaam ni kutoka nchi gani atachibiwa TANZANIA… KARIBUNI
Rafiki usikate tamaa,mbona bado mapema sana? people wanakaa miaka kadhaa hawajapata kazi za fani zao,hebu jishikize kwa kitu chochote simple wakati unasubiri utajibiwa tu
 
Kuna wataalamu hapa SUA wanafanya kazi kama hizo kwanini usiombe nafasi pale, jaribu tu mkuu Mungu wetu ni mwema utapata usikate tamaa.
God is good, all the time!
 
Jamani, asikate tamaa kwa nini? Kwa nchi makini alitakiwa kuwa amepata kazi kabla hata hajahitimu. Amehitimu masomo ili akafanye kazi siyo akake benchi.
 
Unahitaji Ng'ombe wangapi? fedha kiasi gani< eneo ekari ngapi, kwa uchache wa kuanzisha shamba la mifugo kwa faida? naweza kutoa msingi unaohitajika kukiwa kuna data kamili. Faida nusu kwa nusu baada ya gharama zote. Jee. Unaweza? au bado unahitaji uajiriwe ili upate ujuzi wa ziada? Ni PM lama unaweza kuanzisha hii biashara from grass roots.
 
Ni PM nikupe mchongo ila ni porini!kama we ni sharobaro hutapaweza..panahtajka m2 alye nia na kazi kweli kweli.
 
Unahitaji Ng'ombe wangapi? fedha kiasi gani< eneo ekari ngapi, kwa uchache wa kuanzisha shamba la mifugo kwa faida? naweza kutoa msingi unaohitajika kukiwa kuna data kamili. Faida nusu kwa nusu baada ya gharama zote. Jee. Unaweza? au bado unahitaji uajiriwe ili upate ujuzi wa ziada? Ni PM lama unaweza kuanzisha hii biashara from grass roots.

Mimi Nina degree ya wildlife science naomba aniajiri kama range land manager, kama una fund yakutosha unaonaje tuka anzisha zoo au ranche au garden ya mboga za majani, matunda, tukafuga kuku wa mayai na nyama pamoja na ngombe wa maziwa, tuka anzisha na mabwawa ya samaki tukawa tuna sambaza product zetu kwenye mahotel makubwa.na viwandani kam cha azam etc.au tuka anzisha tour company nahiyo mipango ila tatizo ni capital. unaweza ukanicheki sazukha@yahoo.com
 
umewatamani wale wadada wa mahkirkhri nini? nenda ubalozini ukaombe visa.
 
Mimi Nina degree ya wildlife science naomba aniajiri kama range land manager, kama una fund yakutosha unaonaje tuka anzisha zoo au ranche au garden ya mboga za majani, matunda, tukafuga kuku wa mayai na nyama pamoja na ngombe wa maziwa, tuka anzisha na mabwawa ya samaki tukawa tuna sambaza product zetu kwenye mahotel makubwa.na viwandani kam cha azam etc.au tuka anzisha tour company nahiyo mipango ila tatizo ni capital. unaweza ukanicheki sazukha@yahoo.com

Mojamoja basi, ya mabwawa ya samaki nimeipenda. Atawasiliana na wewe business manager wangu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom