Hi great thinkers, naombeni msaada jinsi nitakavyoweza kufika kwao makirikiri,
SABABU: mi ni mhitimu wa chuo kikuu nikiwa na degree ya sayansi ya wanyama (animal science and production), miaka yote serikali yetu imekuwa ikitangaza kuwa ina upungufu wa maafisa mifugo zaidi ya 7000, na rais alitangaza mwenyewe kuwa atakayehitimu degree ya aina hii apeleke application zake moja kwa moja kwa katibu mkuu wa wizara na atapangiwa kituo, cha ajabu application zangu zina miezi 2 bila majibu,
HITIMISHO: Najua hii ni serikali ya siasa zaidi, usikute hakuna u-serious wowote katika hili, nasikia degree ya aina hii inalipa Botswana hivyo ninaomba kama kuna mtu ana maelekezo zaidi jinsi ya kufika kule na kupata ajira anielekeze au kama una ndugu huko na unaweza kuni-connect naye anisaidie, ili tukazalishe mifugo bora huko ili rais (toka TANZANIA) akija ziara ashangae na kuomba sample ya kuleta Tanzania, alafu akiuliza nyie watalaam ni kutoka nchi gani atachibiwa TANZANIA
KARIBUNI